Konda Nae Kaoteshwa na Mungu -Mbagala

Konda Nae Kaoteshwa na Mungu -Mbagala

yale waliyoyaigiza futuhi na mizengwe juu ya kuoteshwa kutoa tiba ya kikombe yana ukweli 100% kuna watu wanadai kuoteshwa baada ya kupigika na maisha hivyo wanatafuta mahali pa kutokea.

hivi bila kuoteshwa watarudishaje mamilioni ya desi waliyodhulumiwa na wasanii wenzao?
 
Dah itabidi nianze kulala mapema labda namimi naweza kuoteshwa !!!!

teh teh! Wewe sema tu umeoteshwa wadanganyika watakubali si unaelewa wa Tanganyika wana mtindio wa ubongo! Watakuamini tu Hunahaja ya kulala
 
kaazi kwelikweli kwa wabongo
teh teh! Wewe sema tu umeoteshwa wadanganyika watakubali si unaelewa wa Tanganyika wana mtindio wa ubongo! Watakuamini tu Hunahaja ya kulala
 
Babu wa Loliondo na wengine wote wanaodai kuoteshwa ili kugawa vikombe ni kazi za shetani zile zile zilizotabiriwa katika 1Tim.4:1. Watanzania tumtafuteni Mungu wa kweli na sio kukimbilia vitu rahisi rahisi namna hii

Watanzania wanapenda vitu vya mteremko,hawafikiliii na wala hawakumbuki maandiko yanasemaje.
 
Religion is the opium of the people - Karl Max

Religion is, indeed, the self-consciousness and self-esteem of man who has either not yet won through to himself, or has already lost himself again. But man is no abstract being squatting outside the world. Man is the world of man—state, society. This state and this society produce religion, which is an inverted consciousness of the world, because they are an inverted world.

Religion is the general theory of this world, its encyclopedic compendium, its logic in popular form, its spiritual point d'honneur, its enthusiasm, its moral sanction, its solemn complement, and its universal basis of consolation and justification. It is the fantastic realization of the human essence since the human essence has not acquired any true reality... Religious suffering is, at one and the same time, the expression of real suffering and a protest against real suffering.

Religion is the sigh of the oppressed creature, the heart of a heartless world, and the soul of soulless conditions. It is the opium of the people.
The abolition of religion as the illusory happiness of the people is the demand for their real happiness
... The criticism of religion is, therefore, in embryo, the criticism of that vale of tears of which religion is the halo.

Karl Max: Introduction to A Contribution to the Critique of Hegel’s Philosophy of Right. Collected Works
 
Kwa waislam wala hawahitaji tamko la nani! Hayo ni mambo ya kishetani tu. Kama ambavyo Yahya hussein huambiwa anayofanya ni shirki. Kamwe viongozi wa dini ya kiislam hawatahangaika naye watamuona ni mpotevu tu.
 
wafuga pepo wachafu na majini nao wameanza!
<br />
<br />
wale wengine nao ni wachawi hakuna mwenye jema hapo. Ni udanganyifu uliokithiri. Na wengine ni matapeli. Eti kuoteshwa. Hivi hawajui kuota wakati fulani ni zao la kuwaza?
 
Hii sasa tuseme ujasiriamali umehamia kwenye vikombe au ndo ubunifu wenyewe na uwekezaji kwenye bongo za watu?
KUOTESHWA sasa ndo imekuwa 'password' ya kila anayetaka kuwachezea watu akili!
 
Back
Top Bottom