Konda Keshakula Vyombo Hapo...!

Vile vile unaangalia na wingi wa abiria. Mfano kutoka mawasiliano mpaka bunju ni 34 km nauli ni 750. Kutoka bunju mpaka bagamoyo nauli ni 1500 lakini ni 34 km hiyo hiyo.

Ila kwa Bagamoyo kidogo ni reasonable coz inakuwa out of Daressalaam mkuu.
 
1.ijumaa
2.alhamis
3.jumatano
4.jumanne
5.jumatatu

?​
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…