Hata haichekeshi..
mie nimecheka hadi meno ya mwisho yanauma.Hata haichekeshi..
Hata haichekeshi..
coz huna bandama.hata haichekeshi..
Hata haichekeshi..
kwani sidiria zinauzwa Kariakoo tu?
Nalog off
sasa kama utani ndio usifanane na ukweli? nachojua mie utani wote unaendana na ukweli,kwa mfano mimi ni mshabiki wa Simba,tulipotolewa na libolo ya Angola kuna mtu alisema kwenye kikatuni chake ya kwamba Simba kalishindwa lile Libolo kwa kuwa ni kubwa kwake mie ikanibidi nicheke kwa kuwa hiki ni kichekesho live bila changa,au endelea kutafuta ujionee mwenyewe humu mbona vichekesho vipo vya kumwaga.Halafu mie sijatumia nguvu hapo kaka.Simply because Daladala ilianzia Kariakoo. Kwa kuongezea hii ni page ya Utani Mkuu, huhitaji kuwa great thinker na kusoma katikati ya mistari katika jukwaa hili. Tumia hizi nguvu kwenye jukwaa lingine. Ni ushauri tu ,hutaki unaacha
How old are you bro? Nauliza tu.sasa kama utani ndio usifanane na ukweli? nachojua mie utani wote unaendana na ukweli,kwa mfano mimi ni mshabiki wa Simba,tulipotolewa na libolo ya Angola kuna mtu alisema kwenye kikatuni chake ya kwamba Simba kalishindwa lile Libolo kwa kuwa ni kubwa kwake mie ikanibidi nicheke kwa kuwa hiki ni kichekesho live bila changa,au endelea kutafuta ujionee mwenyewe humu mbona vichekesho vipo vya kumwaga.Halafu mie sijatumia nguvu hapo kaka.
Ushauri wangu wa bure kwako ndugu,vichekesho LAZIMA vifanane na ukweli.
Nalog off