Komrade Wassira mkono shavuni- mpe neno

Amavubi

JF-Expert Member
Joined
Dec 9, 2010
Posts
30,156
Reaction score
13,267
 

Attachments

  • 12063735_1043961882295391_1181229934956486579_n.jpg
    17.5 KB · Views: 3,269
Da! Bulaya hafai kabisa....teh teh
 
Anawaza, 'Sijui niende mahakamani kudai ubunge, sijui niache tu Magufuli atanikumbuka'. Tehe tehe!
 
Nafasi alikuwa anaitaka na sera zake za kilimo. Mungu alivyowaajabu hata ubunge kapigwa chini.
 
😀😀 anafikiria kale ka wimbo ka li chama lake libovu

🎤hatunywi sumu hatujinyongi🎤
 
Anawaza namna ya kuiba
 
meno ya mbwa hatimaye yameumana maana nyerere ndiye alimpakazia
 
Uwaziri atausikia kwenye TV....Safi Sana Bulaya Kumnyoosha alijisahau sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…