Mkuu kwa moja inakuwa kuna ugumu wa ku establish grounds za mkopo kwa individuals kama unachukua in bulk tunaweza kukaa chini na kuongea, haina tabu..Mkuu vipi kwa individual ambao wanahitaji wanaweza kupata kwa mkopo? Akikupa details zake mfano alipo, shughuli zake, na mkakakubaliana terms of payment ?
Tafadhali tusaidie kushare hii to all interested parties.
Kaka inakua ngumu sana ku establish grounds za mkopo kwa laptop moja, kama unachukua in bulk we can domimi ni muajiriwa kampuni binafsi je naweza kukopeshwa laptop?
Laptop zikija nichek nikukonect kwa shule uje uongee nao..Kaka inakua ngumu sana ku establish grounds za mkopo kwa laptop moja, kama unachukua in bulk we can do
Asante sana... nitakutafuta natumaini by alhamisi au ijumaa wiki ijayo.Laptop zikija nichek nikukonect kwa shule uje uongee nao..
Hapana tuko kwenye jengo la mabrother linaitwa St. Placidus House kama unakuja kwenye hii day care ya kanisaUhamiaji kwenye zile flem zinazotizamana?
Karibu sana kakaAsante
In bulk una maana gani mkuu?Mkuu kwa moja inakuwa kuna ugumu wa ku establish grounds za mkopo kwa individuals kama unachukua in bulk tunaweza kukaa chini na kuongea, haina tabu..
NyingiIn bulk una maana gani mkuu?
Hakuna chifu, hata bei ziko updated kwa sasa tangazo langu kwa laki tatu na nusu haliko valid tena, sasa angalau laki nne na thelathini.Hakuna desktop za laki mbili cash hapo?
Mkuu kwa bei hiyo biashara itakuwa ngumu hiyo...Hakuna chifu, hata bei ziko updated kwa sasa tangazo langu kwa laki tatu na nusu haliko valid tena, sasa angalau laki nne na thelathini.
Nakuunga mkono mkuu.Mkuu kwa bei hiyo biashara itakuwa ngumu hiyo...
kama ni new brand sawa, utauza. Lakini kama ni used itachukua muda kuuza..
K/koo 250k unapata mashine kali sana tu..
Mikoani kwa sasa bado mkuu; lakini kama wewe ni shule au hospitali tunaweza kukufikiaMikoani mnafikaje?