Kompyuta zenye ubora kwa mkopo

Developer

JF-Expert Member
Jan 8, 2011
476
604
Wabarini wakuu,

Hili tangazo nimekusudia liwe la kuhabarisha zaidi kuliko tangazo la kibiashara.

Tuna mradi mpya wa kibiashara ambao lengu letu ni kuhudumia mashirika ya kibiashara/huduma, kwa sasa taasisi za elimu (shule, vyuo na vyuo vikuu) na huduma za afya (zahanati, kliniki, vituo vya afya na hospitali).

PRIMARY BUSINESS
Tunauza refrubrished/used laptops na desktops kuanzia moja mpaka mia kadhaa kwa cash au credit kwa taasisi tajwa hapo juu.

Mkopo unaweza kuwa wa miezi mitatu mpaka sita.

Bei ni mainly shilingi laki tatu na nusu kwa laptops na desktops.

Mkopo wa miezi mitatu utakuwa na riba ya asilimia tatu kwa miezi mitatu.

Mfano taasisi ikichukua laptop mbili zenye thamani ya sh laki saba kwa mkopo wa miezi mitatu itarudisha jumla ya sh laki saba na elfu ishirini na moja kwa mkupuo au kwa awamu ndani ya miezi mitatu.

Mkopo wa miezi sita itakuwa na riba ya asilimia sita kwa miezi sita.

Mfano taasisi ikichukua desktop mbili zenye thamani ya sh laki saba kwa mkopo wa miezi sita itarudisha jumla ya sh laki saba na elfu arobaini na mbili kwa mkupuo au kwa awamu ndani ya miezi sita.

Laptops na desktops zote zina RAM at least 4GB, ni at least core i3 na zina hdd at least 160GB.

Brands ni mchanganyiko HP, DELL, TOSHIBA na LENOVO.

Currently tuna desktop za kutosha, laptops kuna kontena linatoka bandarini tarehe 07/06 jumatano ya wiki ijayo nazo zitakuwa zinapatikana za kutosha.

Please do share this to all interested parties...


Ofisi zetu ziko St. Placidus House, Kurasini Dar es Salaam.
Karibuni
0768298180.
 
Uko affiliated na taasisi gani mkuu, unaweza kutupa address tukaja kufanya presentation..
Niko Chuo mkuu....huwa najihusisha na biashara ya lap top...nachkua order kwa wanafnzi wenzngu naingia mjinii kuzitafuta...nmefrhi kuuona Uzi wako ...
 
Karibu tuko Kurasini karibu kabisa na Uhamiaji makao makuu, karibu utembelee hub yetu, kama una cash hata moja tunakuuzia na bei tutakupunguzia..
Sawa Mkuu nkiwa freshii nitatembelea hapoo....vipii hamna official account instargram...??
 
Back
Top Bottom