Kompyuta yangu.

Mphamvu

JF-Expert Member
Joined
Jan 28, 2011
Posts
10,702
Reaction score
3,356



Mtambo mpya huo, kama kuna mtu ana swali tafadhali...
 
hongera mkuu kwa laptop mpya Mphamvu. kwanini lakini umevuta 2nd gen core i3 kama ni mpya?
 
Last edited by a moderator:
hongera mkuu kwa laptop mpya Mphamvu. kwanini lakini umevuta 2nd gen core i3 kama ni mpya?

Prosesa ipi ndo nzuri zaidi ya hapo mkuu, kwa zilizokuwa madukani na zinazonunulika hii ndo niliona ya ukweli maaana kulikuwa na Mac Intel i5 lakini bei yake unapata kijihekari huko Kitunda.
 
Last edited by a moderator:
Hiyo aiwezi kuwa kompyuta,labda picha ya kakakuona
:dizzy:
 
Hiyo Processor nimeipenda...... 2.4Ghz x 4...... ila hiyo hdd kimeo....
 
Hiyo aiwezi kuwa kompyuta,labda picha ya kakakuona
:dizzy:

Inaonekana si mdau sana wa TEHAMA, huyo kakakuona ni alama ya biashara ya OS ya kuitwa UBUNTU 12.4 Precise Pangolin...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…