M mabhuimerafulu Member Joined May 29, 2012 Posts 89 Reaction score 38 Jun 12, 2012 #1 Eti 'wezi' wameiba kompyuta ya Mhariri wa gazeti la Mwananchi, Hawakuvunja, iliibwaje? Hii inanikumbusha wizi wa komputa ya Mwandishi wa gazeti la This Day, ambapo wezi walivunja kioo na 'kuiba' Kweli hao wezi??????
Eti 'wezi' wameiba kompyuta ya Mhariri wa gazeti la Mwananchi, Hawakuvunja, iliibwaje? Hii inanikumbusha wizi wa komputa ya Mwandishi wa gazeti la This Day, ambapo wezi walivunja kioo na 'kuiba' Kweli hao wezi??????
Radhia Sweety JF-Expert Member Joined Aug 10, 2011 Posts 4,433 Reaction score 1,772 Jun 12, 2012 #2 Dah! Hiyo kali kuliko. Yaani ni sawa na mtu kuibiwa mas.aburi yake bila kuvuliwa suruali.
Katavi Platinum Member Joined Aug 31, 2009 Posts 42,099 Reaction score 12,932 Jun 12, 2012 #3 Itakuwa ilikuwa na habari nyeti...
POMPO JF-Expert Member Joined Mar 12, 2011 Posts 6,690 Reaction score 2,402 Jun 12, 2012 #4 Kwani yeye ni nani mpaka isiibiwe? hivi na hi ni habari ya Siasa? grrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr:A S 20:
Kwani yeye ni nani mpaka isiibiwe? hivi na hi ni habari ya Siasa? grrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrrr:A S 20:
papason JF-Expert Member Joined Sep 14, 2010 Posts 5,119 Reaction score 5,712 Jun 12, 2012 #5 Wakitangaza 'kitu kidogo' itapatikana tuu
Ndahani Platinum Member Joined Jun 3, 2008 Posts 18,162 Reaction score 9,192 Jun 12, 2012 #6 Wamemzidi ujanja wenzake
democratic JF-Expert Member Joined Nov 21, 2011 Posts 1,642 Reaction score 295 Jun 12, 2012 #7 Radhia Sweety said: Dah! Hiyo kali kuliko. Yaani ni sawa na mtu kuibiwa mas.aburi yake bila kuvuliwa suruali. Click to expand... teh,teh.teh.teeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeh..................
Radhia Sweety said: Dah! Hiyo kali kuliko. Yaani ni sawa na mtu kuibiwa mas.aburi yake bila kuvuliwa suruali. Click to expand... teh,teh.teh.teeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeh..................
T true JF-Expert Member Joined Nov 26, 2011 Posts 506 Reaction score 282 Jun 12, 2012 #8 Radhia Sweety said: Dah! Hiyo kali kuliko. Yaani ni sawa na mtu kuibiwa mas.aburi yake bila kuvuliwa suruali. Click to expand... Radhia hacha utundu..., nimeipenda hiyo! Ha ha haaaaaa!!!
Radhia Sweety said: Dah! Hiyo kali kuliko. Yaani ni sawa na mtu kuibiwa mas.aburi yake bila kuvuliwa suruali. Click to expand... Radhia hacha utundu..., nimeipenda hiyo! Ha ha haaaaaa!!!