Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,974
- 13,429
Tangazo lipi na nimlipe nani?lipia tangazo.
inasemekana kuwa laptop sio nzuri kuliko flat screen computer je kuna ukweli wowote? Ila nashukuru mkuu kwa majibu,je? Kuhusu vifaa vya wireless nako nichukue vipi.Si lazima hiwe na proccessor ya Pentium, unaweza kununua yenye AMD, Athron n.kKwa mfano ukiwa na Laptop kama hii inakufaa:Toshiba Processor: AMD, Athlon II Dual - Core M300 2.00 GHzRAM: 4.00 GBSystem: 64 - bit Operation SystemHDD: 500Gonga hapa
Nikuulize swali tafadhali, "Kwanini unataka kutumia wireless?"Nashukuru mkuu,je? Kuhusu vifaa vya wireless nako nichukue vipi.
Kwasababu naweza kuipata bila ya kusumbuana na Baba mwenye nyumba yangu.Nikuulize swali tafadhali, "Kwanini unataka kutumia wireless?"
Mkuu kama unataka kutumia Laptop, basi si vibaya ukiwa na wireless, ila kama ni PC, basi unganisha tu na RJ45.Kwasababu naweza kuipata bila ya kusumbuana na Baba mwenye nyumba yangu.
Nashukuru mkuu,basi nitaanza na wayalesi halafu nikipata mahela nitatafuta ofisi na kuunganisha na connection za wayaMkuu kama unataka kutumia Laptop, basi si vibaya ukiwa na wireless, ila kama ni PC, basi unganisha tu na RJ45.NB:Connection za wire zipo faster kuliko wireless.
Nadhani kampuni utakayo jiunga nayo watakupatia kila kitu. Chaguo litakuwa lako, wire au bila wire.Nashukuru mkuu,basi nitaanza na wayalesi halafu nikipata mahela nitatafuta ofisi na kuunganisha na connection za waya
Thanks mkuu,ndio hivyo tena nimeshachoka kushona viatu ndio maana nataka niivamie hii technologygoodluck mkuu... ujasiriamali wa kisasa ndio huo..