kuna moja dell na moja hp. Nicheki ktk 0713-039875Habari zenu wakuu
Nina uhitaji mkubwa wa desk top(full set) kwa maximum price of 180,000 iwe either used au mpya
Kwa anayefahamu duka kwa dar es salaam au anayeuza used tufahamishane
Kwa mawasiliano 0677359028 au 0678129205
Napatikana ubungo kibo dar
Shukrani