komesha ya wawangaji.

rusesa

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2013
Posts
538
Reaction score
234
Naomba tujulishane namna ya kudhibiti wawangaji, maana wanasumbua kweli kweli.

Karibuni.
 
Sali sana au kuwa mwanga zaidi yao
 
Panda kwenye mkeka, ulalie bajaj
 
Umejuaje kama wanakusumbua?usilale bila maombi/dua,hakuna njia zaidi ya hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…