Komesha ya wanaume tapeli

Komesha ya wanaume tapeli

tamu 3

Member
Joined
Dec 11, 2024
Posts
88
Reaction score
216
Nilipata mwanaume humu tu ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…bas akanambia njoo tuonane njoo kwanauli yako ukifika nakurudishia nikaenda tukacheki afya vzr tu tukalala bas bwana asubuhi naamka hapo kitandani gest nakuta hayupo kasepa nauli hajaach ht sh mia ๐Ÿ˜ฌ๐Ÿ˜ญ nikampigia akanambia hiyo ndo dawa ya wanawake wa fb Mimi nawakomesha wanawake wa fb kma nyie ukiingia anga zangu naichap nililia Sana walah a asee ndo hakili ikanambia nishaliwa kwa #mkopo ๐Ÿ˜ฌ๐Ÿ˜ฌ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… asee nililia Sana siku hiyo siwez sahau asikwambie mtu maumivu niliyopat zaidi ya msiba

Kwakuwa Mimi sishindwi kitu nikafika home nikamcheki baba Asante niliinjoi akanijibu unataka Tena nikamjibu ndyo panga siku Nije shoo nimeieleewa tukagombana msamaha yakaisha ikapita Kama siku nikamtumia Kama sh elfu 7000 Kama zawadi tu anunue chochte akafurah akajua hili bwege bas siku ikafika nikaenda

Nikamwambia naomba unifatie japo chips nanjaa baba nikamwambia nikamwambia nitolee paswed niangalie video akatoa na sm yake ilikuwa kubwa mno kwakuwa sikumuonesha kinyongo siku Ile ko hakuwa na wasi wasi ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… akaondoka kufata chps nikachukua Pini nikaitoa laini nikaiweka kwenye kiti nikachukua sm aliacha mpka sweta lake nalo nikabeba mpka chaja alokuja nayo nikabeba lakin laini nikaiacha mezani pale kumbe kamwambia mhudumu a asiniruhusu nitoke nje bas

Ile nafika kidg kwenye mapokezi Dada ananizuia usiondoke kasema nikamwambia alipo nihapo chini kafata chips na sm yake hii niyakazi ko boss wake anapiga sana ko siwez jua anashida gani Ila mkoba wangu nitunzie chapu niliuweka vipodozi tu hakikiwemo na chochte sweta nilivaa maana lilikuwa Kali kinoma mtu yyte anavaa ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… Ile kuona pochi naaacha akasema ok mkimbilie uwiii ndo bajaji mbio mpk sehemu flan nikatulia kesho ndo nipande magari e nikalala sehemu kesho nikasepa Sasa akaweka lain kwenye sm ndogo akanipigia we

Mwanamke nakuomba rudisha sm yangu Kuna Mambo mengi humo chochte unachotaka nakupa nikamwambia hiyo ndo dawa ya wanaume matapeli we wakunila kwa mkopo Mimi akanambia naenda kuripot polisi nikamwambia nenda nanilikuwa na safari yakwenda Kagera nikauza huko huko hiyo sm Kama laki 3 nanusu walinipa japo ilikuwa Bei ya hasara lakin hainiumizi maana sikuinunua Mimi๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜ฌ akanambia huezi kuiuza nakuambia japo box silioni Ila huizi nikamwambia nauza nachochte fanya nasiku nikutwe na lolote ndo siku nitakuonesha kuwa dhuruma kwa mwanamke haindi bure bas nikachukua zangu 3 nanusu laki zangu nikala.kufidia penzi langu ๐Ÿ˜ฌ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃwamapovu ruksa kabisa nawala.sijali lolosi
 
Ila umeliwa
 
Ngoma ngoroingwa
Kila mmoja anataka ubingwa
 
Huu uzi ni wa
Mwanaume
Screenshot_2025-08-31_205144.png
 
Hicho kijamaa kitakuwa kibabu,kweli ukiingize mkenge kirahisi hivyo!ama mlikomoana tuu baada ya maisha ya pamoja kipindi kirefuu?
 
Back
Top Bottom