Mkuu Waarabu wala hawana shobo na haya mashindano kuna mwaka Moroco alikataa uwenyeji kisa mlipuko wa Ebola aliona atapelekewa ugonjwa nchini kwake.Viwanja viwili vya kimataifa vinafaa kuhost kombe la Afrika
Huna uzalendo! Kuna CCM Kirumba, CCM Kambarage, CCM Nyerere, CCM Kawawa, CCM Sheikh Amri Abeid Karume, CCM Samora, CCM Ali Hassan Mwinyi, CCM Kaitaba, CCM Jamhuri na ccm nyingine nimezisahau. Yaani hivyo vyote havitoshi? Be patriotic brother. Penda nchi yako, unga mkono Juhudi.Umesahau Kenya kwamba wanasumbuliwa na Al-shaabab mara kwa mara tena wao hupigwa vibaya mno na wanapenda kupiga makundi ya watu.
Kwa Africa mashariki tusahau kabisa habari za mashindano kuja kwetu.Bongo viwanja havitoshi
Taifa vipo viwanja viwili,Chamazi kimoja,kingine kile cha Kagera,Nyamagana kimoja jumla vipo vitano,Kwa michuano kama hii inachezeka kabisa ila kwa vile hatupo kwenye ramani ya kisoka Tanzania basi inakuwa ngumu kupataHiyo Afcon mtachezea kiwanja cha Majimaji?
Wewe viwanja huvijui kabisa. Katavi mpanda uwanja wao naujua vyema wala huhitaji kuingia ndani ili kuona mpira.Acha utani Mkuu Uwanja wa Mandela unatofauti gani na Viwanja kama Lake Tanganyika Kigoma,ule wa Katavi Mpanda, na hata ule Jamhuri Morogoro?
Rukwa??? Are you serious??? Upelelezi AFCON Rukwa??Tz tuna viwanja vichache sana. Viwanja bora tz ni vinne au vitano ukijumlisha na ule wa mandela rukwa ukiboreshwa uko safi.
Kenya alshabab hakufai kabisa. Haya makundi ya kiislam ni taabu sana.
Katavi Mpanda uwanja haujajengewa labuda uwe umekamilikandani ya miaka 2Acha utani Mkuu Uwanja wa Mandela unatofauti gani na Viwanja kama Lake Tanganyika Kigoma,ule wa Katavi Mpanda, na hata ule Jamhuri Morogoro?
Labda tuambiwe sifa za kuhost michuano hiyo ni zipi suala la viwanja hapa kwetu sioni kama ni shida sana tusaidieni sifa nyingine tuzijue.Kama vp Tz to host viwanja vipo vya CCM
Taifa kubwa na ndogo,Chamazi,Kirumba , Zanzibar
kuna mwaka nilisoma sehemu. sikumbuki vizuri. ili uweze kuandaa hayo mashindano , kiwanja hakitakiwi kiwe na nyasi bandiaLabda tuambiwe sifa za kuhost michuano hiyo ni zipi suala la viwanja hapa kwetu sioni kama ni shida sana tusaidieni sifa nyingine tuzijue.
Kisiwe na nyasi bandia?kuna mwaka nilisoma sehemu. sikumbuki vizuri. ili uweze kuandaa hayo mashindano , kiwanja hakitakiwi kiwe na nyasi bandia
kuna mwaka nilisoma sehemu. sikumbuki vizuri. ili uweze kuandaa hayo mashindano , kiwanja hakitakiwi kiwe na nyasi bandia
Nimecheka sana mpaka nimejibamiza. Mkuu nilipe hela fidia sio kwa kunichekesha hivi.Huna uzalendo! Kuna CCM Kirumba, CCM Kambarage, CCM Nyerere, CCM Kawawa, CCM Sheikh Amri Abeid Karume, CCM Samora, CCM Ali Hassan Mwinyi, CCM Kaitaba, CCM Jamhuri na ccm nyingine nimezisahau. Yaani hivyo vyote havitoshi? Be patriotic brother. Penda nchi yako, unga mkono Juhudi.