Kombe la Mataifa ya Africa (AFCON) kutofanyikia tena Cameroon kufuatia tishio la ugaidi

Umesahau Kenya kwamba wanasumbuliwa na Al-shaabab mara kwa mara tena wao hupigwa vibaya mno na wanapenda kupiga makundi ya watu.

Kwa Africa mashariki tusahau kabisa habari za mashindano kuja kwetu.Bongo viwanja havitoshi
Huna uzalendo! Kuna CCM Kirumba, CCM Kambarage, CCM Nyerere, CCM Kawawa, CCM Sheikh Amri Abeid Karume, CCM Samora, CCM Ali Hassan Mwinyi, CCM Kaitaba, CCM Jamhuri na ccm nyingine nimezisahau. Yaani hivyo vyote havitoshi? Be patriotic brother. Penda nchi yako, unga mkono Juhudi.
 
Hiyo Afcon mtachezea kiwanja cha Majimaji?
Taifa vipo viwanja viwili,Chamazi kimoja,kingine kile cha Kagera,Nyamagana kimoja jumla vipo vitano,Kwa michuano kama hii inachezeka kabisa ila kwa vile hatupo kwenye ramani ya kisoka Tanzania basi inakuwa ngumu kupata
 
Bora fainali zikachezewe china basi
Yaani huu ujinga wa matumizi mabaya ya madaraka hautakaa uishe wewe miezi Saba bado unasema hakuna usalama ulijuaje kuwa next 6 months watakua vipi zsfh/*'"
 
Acha utani Mkuu Uwanja wa Mandela unatofauti gani na Viwanja kama Lake Tanganyika Kigoma,ule wa Katavi Mpanda, na hata ule Jamhuri Morogoro?
Wewe viwanja huvijui kabisa. Katavi mpanda uwanja wao naujua vyema wala huhitaji kuingia ndani ili kuona mpira.
Uwanja wa sumbawanga hata uwanja wa mbeya sokoine haufui dafu.
Waulize waliopo swanga hata sasa wakusaidie. Wa kigoma siujui.
 
Hao lazima wangeshindwa tu. Huwezi kuwa mwenyeji wa michuano mikubwa katikati ya mgogoro wa kisiasa na kijeshi isiyo na ufumbuzi.
 
Kwa afrika, Morocco panawafaa sana...tena kuna amani na pazuri zaidi ya nchi yeyote.
 
Tz tuna viwanja vichache sana. Viwanja bora tz ni vinne au vitano ukijumlisha na ule wa mandela rukwa ukiboreshwa uko safi.
Kenya alshabab hakufai kabisa. Haya makundi ya kiislam ni taabu sana.
Rukwa??? Are you serious??? Upelelezi AFCON Rukwa??
 
Hii bila ubishi TFF watupe karata kigezo ni usalama na amani nasi ndo chimbuko la hiyo bidhaa hebu jaribuni watanzania tfarijike watutoe kwa vigezo vya viwango.
 
Kama vp Tz to host viwanja vipo vya CCM
Taifa kubwa na ndogo,Chamazi,Kirumba , Zanzibar
 
Kama vp Tz to host viwanja vipo vya CCM
Taifa kubwa na ndogo,Chamazi,Kirumba , Zanzibar
Labda tuambiwe sifa za kuhost michuano hiyo ni zipi suala la viwanja hapa kwetu sioni kama ni shida sana tusaidieni sifa nyingine tuzijue.
 
Labda tuambiwe sifa za kuhost michuano hiyo ni zipi suala la viwanja hapa kwetu sioni kama ni shida sana tusaidieni sifa nyingine tuzijue.
kuna mwaka nilisoma sehemu. sikumbuki vizuri. ili uweze kuandaa hayo mashindano , kiwanja hakitakiwi kiwe na nyasi bandia
 
Sababu ya kuhamisha mashindano imewapa nguvu zaidi Boko Haram!!
 
Huna uzalendo! Kuna CCM Kirumba, CCM Kambarage, CCM Nyerere, CCM Kawawa, CCM Sheikh Amri Abeid Karume, CCM Samora, CCM Ali Hassan Mwinyi, CCM Kaitaba, CCM Jamhuri na ccm nyingine nimezisahau. Yaani hivyo vyote havitoshi? Be patriotic brother. Penda nchi yako, unga mkono Juhudi.
Nimecheka sana mpaka nimejibamiza. Mkuu nilipe hela fidia sio kwa kunichekesha hivi.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom