Inchi ina matatizo kibao kubwa zima umetoka kuvuta bange unakuja na mada kama hizi Nyabumbu ?Ebana Wanajamvi inakuwaje pande za huko? Poleni na majukumu, pilka pilka na mikiki mikiki ya hapa na pale ya kutafuta riziki maisha yaende.
To my side really I can't complain as long as am sure of smoking it's something am overwhelming grateful.
Faster kwenye mada watu wangu. Hiki kitu kinanikera sana. Sasa hivi kombe la dunia linaendelea huko Mexico, Canada na Marekani. Lakini cha kushangaza kuna ligi zingine zinaendelea duniani.
Yani hata kwetu ligi kuu bara inaendelea. Hata huko Argentina, Brazil, Australia, nchi za Asia, ulaya na Africa kuna mashindano ya pira yanaendelea wakati huu.
Hii siyo sawa kabisa wakati huu hadi kombe la dunia liishe inatakiwa kuwe na marufuku ya mashindano yoyote ya mpira.
Ni mwezi mmoja tu kwanini wasivumilie tu. Hii inashusha hadhi ya kombe la dunia.
MASHINDANO YA KOMBE LA DUNIA LAZIMA YAHESHIMIWE.
adriz de mbusii
Imagine 🤣Hakuna Ligi ya maana inaendelea wakati wa WC. Ukiona ligi inaendelea wakati wa WC ujue ni ligi isio na maana kama kombe la mbuzi tu kule Buza.
Sasa hii nayo ni ligi? Hata kupanga ratiba hawawezi kuna ligi hapo?
Hapa nipo Banda umiza,ukitaka kukaa kwenye kiti uwe na kinywaji,kauli mbiu ni mwenye kinywaji na aheshimiwe!Ebana Wanajamvi inakuwaje pande za huko? Poleni na majukumu, pilka pilka na mikiki mikiki ya hapa na pale ya kutafuta riziki maisha yaende.