Kwa ukubwa wa nchi inawezekana ikawa kweli kwani huwezi kulinganisha ukubwa wa Tanzania na Uganda au Ruanda.
Jee amelinganisha na resources zilizoko hapa nchini? Kwani kwa resources tumewapita hao lakini nchi yetu ndiyo masikini kuliko hizo nyengine hapa Afrika Mashariki.
Na kwa nini asilinganishe ukubwa wa nchi na mfano, Marekani badala ya kulinganisha na nchi ndogo?