Habari za jioni wadau...
Mimi hii picha inanikumbusha Chuo hata kama maisha/masomo magumu unakomaa tuu,ukikubali kukamatwa ujue unaliwa kichwa,hata ktk Mahusiano ukiumizwa komaa usimezwe nae, shika mahali ili ajue nawe unakomaa mwisho wa siku ngoma Droo....au wewe unaona nani ataumizwa hapa?