Wakuu je kokoto nyeupe kwaaajili ya beam na lenta nyumba ya vyumba viwili, sebule, jiko na choo zinafaa kwa unjezi maana ni bei nafuu kuliko nyeusi wataalam naomba msaada kama zinafaa nitumie tu ili kupunguza garama
wakuu je kokoto nyeupe kwaaajili ya beam na lenta nyumba ya vyumba viwili ,sebule ,jiko na choo zinafaa kwa unjezi maana ni bei nafuu kuliko nyeusi wataalam naomba msaada kama zinafaa nitumie tu ili kupunguza garama
Kokoto nyeupe hazina shida, muhimu utumie ratio nzuri (1:3:6)
Hata maghorofa unayoyaona mjini yale ya zamani, kokoto zilizotumika katika ujenzi wake ni hizo hizo kokoto nyeupe (ilikuwa ni kabla ya hizi kokoto nyeusi kuanza kutumika)