Timetraveller
Member
- May 8, 2021
- 52
- 42
Kwa mikoa ya dodoma, Tanga, Morogoro,Lindi, Mtwara, iringa,singida, Moshi, Arusha. Mzigo tunakuletea mkuu.Tulio mikoani tunapataje mzigo
Canter 120,000Ungeweka hata bei elekezi kwa tuliopo Dar
Mnaleta popote pale?Canter 120,000
Fuso 240,000
Mende 450,000
Semi treiler 1.5 mil
Hizo ni bei za kokoto nyeusi, inategemea ni material ipi inayoihitajika kama ni kokoto,mchanga,tarazo ( kokoto nyeupe za urembo)
Bei zinatofautiana kutokana na mzigo unapokwenda.
Ndio mkuuMnaleta popote pale?
Mchanga bei gani?Ndio mkuu
Bei inaanzia laki moja na ishirini ila huongezeka kutegemea na material inapokwendaMchanga bei gani?
Ndio mkuuBei inaanzia laki moja na ishirini ila huongezeka kutegemea na material inapokwenda
Weka bei zako kwa cubic meter, mfano hiyo canter ina ujazo wa cubic meter ngapi?Canter 120,000
Fuso 240,000
Mende 450,000
Semi treiler 1.5 mil
Hizo ni bei za kokoto nyeusi, inategemea ni material ipi inayoihitajika kama ni kokoto,mchanga,tarazo ( kokoto nyeupe za urembo)
Bei zinatofautiana kutokana na mzigo unapokwenda.
Weka bei zako kwa cubic meter, mfano hiyo canter ina ujazo wa cubic meter ngapi?
Kokoto nyeusiWeka bei zako kwa cubic meter, mfano hiyo canter ina ujazo wa cubic meter ngapi?