"kojoa dear"

ni kwann tunasema ahsante..sasa...wkt kila mtu katimiza wajibu wake...
 
Ingekua ni kufanya kazi kwa bidii na utu ungeambiwa siasa, hapa mwenzetu anasema matusi anaambiwa anaboa. Mada gani hii inafaida gani kwangu na kwako?
 

Sipati picha kama dogo anawasikia mnaambiana hivyo, alafu akikijoa yeye kosovo inaamia kwake, lazima aandamane.
 
Hiyo imetulia.

Patamu zaidi dogo asikie mnaambiana hivyo, wakati akikojoa yeye ni varangati zito. lazima aandamane.
 
umenena na wamekusikia, vp na wanotetea haki za kinamama
 
Sasa mpaka uambiwe kojoa ujue unamchosha tu mtoto wa watu ndio maana unaombwa hisani ya kujimalizia faster....Raha ya mikojo ya watu wazima ni mkojoe wote kwa pamoja na hata mkipishana isizidi dakika moja utaboa ndugu.....na kuhusu watoto nafikiri unapoint katika hilo sidhani kama ni busara kumrudi mtoto hovyo japo naamini hakuna dhambi katika hilo ila ni vyema kama utamfundisha kukwepa hiyo khali ya kujikojolea kwa kujitolea kumuasha mara kwa mara mpaka tatizo litakapo koma kabisa...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…