kofia ya Boby wine.

Tairi bovu

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2017
Posts
3,063
Reaction score
2,991
Nimevutiwa na huyu mwanamuziki na mwanasiasa kijana wa hapo kwa dictator museven. hakika huyu ndiyo hasa mtu sahihi atakaye mtoa jamaa.
ile kofia yake nyekundu nitaipata wapi hapa bongo?
napenda active politics naamini kwenye kudai haki kwa nguvu za kiharakati sio kulia kila siku
nawasilisha
 
Nenda kariakoo kwa wamachiga, mbona zipo nyingi tu! Tena zinauzwa jerojero!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…