Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,870
- 34,354
"Naamini kuwa changamoto halisi ya usalama katika bara la Afrika kwanza ni UONGOZI!
Viongozi ambao wanakaa madarakani "hadi waamue wao kuondoka" kwa kuchezea kila Uchaguzi unaofanyika, kukandamiza wanaowakosoa na kunyanyasa vyama vya upinzani - ndio wanapanda mbegu za vurugu na kutoweka kwa amani.
Kofi Annan - Katibu Mkuu Mstaafu wa Umoja wa Mataifa.