BilioneaPATIGOO
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 12,320
- 11,341
- Thread starter
- #41
Hahahah ...dah cindy mtoto ana saut nyororo kumbe vogue ilitumikaUle mchepuko wake wenye sauti tamu unaitwa Cindy Le Ceour ukipenda mwite Cindy Moyo.
Mzee mzima alihonga vogue kwa baba ake Cindy.
Ila ana mke wake anayeitwa Alainne.Koffi amebahatika kuwa na watoto saba tu basi, akiwemo Didi Stone, Rocky (akawa anajiita papa Rocky), Del Pirlo, St. James na wengine, maana majina yake ni ya ajabu ajabu.
Koffi ni investor mzuri kwani ana hotel yenye hadhi sijui ya nyota tatu au tano, yaitwa Villa Del Pirlo maeneo ya Paris (tamka Pagh~s)


