SOMA VIZURI NA UELEWE. AENDI JELA NG'OWadau wa mandombolo na rhumba.
Mzee wa tukunyema ,wa zamani amelaMbwa kichwa miaka 18 huko France.
Kesi ya yule dancer mahiri wa zamani sijui ilikuwaje wakatofautiana ndio aliemshtaki..
Miaka miwili Mopao akagoma kutia mguu France..
Wakampa go on akajisahau km wale mabeberu tu wanamlia timming.
Kumbuka Mokonzi ana family kule,mke na watoto na anawahudumia via vizuri tu.Binti yake Didier la stone ni model mkubwa tu huko,Mama Didier Aaaliyah ni mtu mkubwa tu huko.
Imetokea Unyafuzi tu toka kwa huyu dancer wake..
Wamemlaghai Mopao kama madai yameisha ana haki kwenda kule kumbe timming wamfunge.
Sasa masebene sijui itakuwaje,
Tukumbuke alibaki yeye tu baada ya Papa Wemba kudondoka jukwaani na kufariki.
Anyway juzi tu alikua anaandaa singo inaitwa KUMAMA.
Haijatoka washamlamba.
Hii tabu sana hii.
Kwamba mtaani ana tabu sana so akienda Jela za France ni bata batani. Hii komenti ilifaa uwe unamzungumzia kapuku fulani choka mbaya.Jela ufaransa sio sawa na Congo mwache akale bata lake. Kuoga 24/7, misosi kama yote, kutwa remote iko mkononi.
Kama ulikuja mjini na mafuriko utaelewajeduh sijaelewa kitu
Sio kweli NJ miezi 18 na sio miaka,pia hakuwepo mahakamani yupo Congo Sasa hivi.Wadau wa mandombolo na rhumba.
Mzee wa tukunyema ,wa zamani amelaMbwa kichwa miaka 18 huko France.
Kesi ya yule dancer mahiri wa zamani sijui ilikuwaje wakatofautiana ndio aliemshtaki..
Miaka miwili Mopao akagoma kutia mguu France..
Wakampa go on akajisahau km wale mabeberu tu wanamlia timming.
Kumbuka Mokonzi ana family kule,mke na watoto na anawahudumia via vizuri tu.Binti yake Didier la stone ni model mkubwa tu huko,Mama Didier Aaaliyah ni mtu mkubwa tu huko.
Imetokea Unyafuzi tu toka kwa huyu dancer wake..
Wamemlaghai Mopao kama madai yameisha ana haki kwenda kule kumbe timming wamfunge.
Sasa masebene sijui itakuwaje,
Tukumbuke alibaki yeye tu baada ya Papa Wemba kudondoka jukwaani na kufariki.
Anyway juzi tu alikua anaandaa singo inaitwa KUMAMA.
Haijatoka washamlamba.
Hii tabu sana hii.
Dushelele litatupeleka pabaya kama halijakatwa aiseeKuna wababe pia wanatemea mate na makohozi chakula chako na la kuwafanya huna.
Ana black belt la judo sijui sasa atakua anakata uno huku anarusha mateke alooohAtaenda kuwakatia mauno wahuni huko.
Duh kumbe au unatania? Watu wanaenda kula za udevu.Ana black belt la judo sijui sasa atakua anakata uno huku anarusha mateke aloooh
Mate ya mfungwa wa ufaransa ni bora mara mia kuliko mate ya kiherehere au nyampara wa butimbaKuna wababe pia wanatemea mate na makohozi chakula chako na la kuwafanya huna.
Utakuwa umelewa mbabaduh sijaelewa kitu
Duh nilidhani ni mimi tuduh sijaelewa kitu
Wa kifacebook huu mkuu.Hawa ndo wale watoto wa kutoka fb huko.Shule zimefunga ujue.HUU UANDISHI SI MCHEZO