korokwincho
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 1,071
- 1,316
floorstanding zilikuwa hzo tu pekee, zimebaki ma radio ya zamani na speakers zake kma Sony, aiwa, pioneer, PanasonicSaaFi saana mkuu ntakuchek unielekeze ulipozichukua nije nizichukue niongeze kwenye system yangu coz by now nipo na
3 pioneer Subs, 2 mids, tweeters, mixer, 5way crossover, 12v power supply , except monoblock amplifier 2400w ambayo Iko njian.
Asa ntaongeza na hizo floor standing speakers
Maana deep base niliyonayo watu washaikubali ila wananiuliza ni subwoofer Gani hiyo natumia? ila Mimi nawambia kuwa ni car system na Kila mtu anayepita anaangalia dirishani kwangu coz mziki mzito kinoma ila hawaoni gari [emoji851].
Kwa mwonekano na sound clarity ya hizo Life tec floor standing speakers naunga mkono na ntaifanyia kazi one time niwe Nayo mkuu
vizio ilikuwa kampuni ya marekani ilishauzwa kwa wachinaMimi niliamua kuingia kwenye soko la used nikabeba zangu soundbar ya VIZIO V5.1
Asee hii kitu ni balaa kwenye movie hata music pia. Jaribuni kuitafuta mtakuja kunipa mrejesho hapa.
Nimeziunga kwenye boschman amplifier ambayo ni 4 channel fully bridgeable MOSFET amplifier 2ohm stable 1500wattsfloorstanding zilikuwa hzo tu pekee, zimebaki ma radio ya zamani na speakers zake kma Sony, aiwa, pioneer, Panasonic
uzuri hii avr yangu ina port ya subwoofer pre- out
basi nimeunga na bufa la kodtec, mziki ni kabambe
sema kwa baadae nitatafuta ile subwoofer ya pioneer 3020 pro watts 1800 rms na center speaker 1 ya maana , nitakuwa nimemaliza upande wa vinu
halafu umesema hauna monoblock amp hapo kwako, so hzo pioneers subwoofers umeunga kwenye nin
ina maana hpo bdo hujazipa power halisi hzo subwoofersNimeziunga kwenye boschman amplifier ambayo ni 4 channel fully bridgeable MOSFET amplifier 2ohm stable 1500watts
Ndio mkuu that's why nikiunga zote parallel connection, kwenye pioneer monoblock 1200rms watts,ina maana hpo bdo hujazipa power halisi hzo subwoofers
kila la kheri mkuuNdio mkuu that's why nikiunga zote parallel connection, kwenye pioneer monoblock 1200rms watts,
nitkua na 0.67ohms at 1200 RMS watts
Elfu 70,000/=Seems jamaa wamekuja Official Tanzania, sina data za ubora wao Ila kuwa makini tu sabufa zao ni 70k mpaka 90k hizo za 2 in 1,
Nikishapata floor standing ya Polk ,floorstanding zilikuwa hzo tu pekee, zimebaki ma radio ya zamani na speakers zake kma Sony, aiwa, pioneer, Panasonic
uzuri hii avr yangu ina port ya subwoofer pre- out
basi nimeunga na bufa la kodtec, mziki ni kabambe
sema kwa baadae nitatafuta ile subwoofer ya pioneer 3020 pro watts 1800 rms na center speaker 1 ya maana , nitakuwa nimemaliza upande wa vinu
halafu umesema hauna monoblock amp hapo kwako, so hzo pioneers subwoofers umeunga kwenye nini??
yaani una pioneer subwoofers 3 tayari roughly ni kma watss 1200rmsNikishapata floor standing ya Polk ,
Namalizia na hizi
Subwoofer mbili za kibabe za
Pioneer za TS-W3820PRO
PRO Samurai series - 15" High Efficiency Subwoofer. (3500 W)
View attachment 2676555
View attachment 2676558
Pamoja na hii Skar Audio SKv2-3500.1D, 3500 RMS watts Monoblock Class D MOSFET Competition Grade Subwoofer Amplifier, 4700W Max Power
View attachment 2676548
Hapo mambo yangu yatakaa sawa
Yeaah ni kweli mkuu ila it will be a special music sound for special event,yaani una pioneer subwoofers 3 tayari roughly ni kma watss 1200rms
bdo tena uongeze samurai pro 2 @3600rms
yaani upande wa bass tu utkuwaa na watts 5000[emoji16][emoji16]
sasa mzee hta club hamna huo mziki[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
oohoo kumbe una purpose ya kutumia kwenye mashereheYeaah ni kweli mkuu ila it will be a special music sound for special event,
Ni mwendo wa kuswitch tu coz ni kucheza na Switching off and on from one system to another in normal circumstances in correspondence with thorough electric wiring connections .,
Kwa sababu hata power supply ya hio amplifier lazima iwe amps 350 Kwa volts 12 mpaka 16v.
Ila naweza kuswitch all systems pale tu kama ni special event around my home
Kwa kweli tumemsamehe. Atafute na receiver sasa. Aenjoy vzr.Asante kwa kunielewa mkuu.
Nothing beats a TRUE Stereo System kwenye mziki... Hakuna cha Subwoofer za mchina wala soundbars wala HTiB.
By the way, hizo speakers ni Brand gani? Zinaonekana kama ni speaker za brand ya Focal, or?
Kama umenunua kwa 80k kwa kweli that was more than a Big Deal. It is a STEAL.
Hongera sana mkuu... Sasa enjoy mziki wa kweli...Dhambi zako za kutumia subwoofer za mchina zimesamehewa.
Daah shida mwonekano wa P.A zile bass zake zimekaa kama sinia alafu frequency zake ni kubwa yaan from 45hz onwards and from 4ohms to 16ohmsoohoo kumbe una purpose ya kutumia kwenye masherehe
sa si Bora ungenunua hta simple P.A system.
sema zipo p.a za maana tu , zinacheza hadi 20hz brands kma Behringer , pronomic, mackie, Yamaha wapo vizuri sana huo upandeDaah shida mwonekano wa P.A zile bass zake zimekaa kama sinia alafu frequency zake ni kubwa yaan from 45hz onwards and from 4ohms to 16ohms
labda p.a nzuri ya bass ambayo nilishaiyona imefunikwa koote na Ina spika 2 za bass zenye 18 inches na ilikua na ventilation holes mbili kubwa pia ilikua ina 30hz at 4ohms.
Mimi Napenda subwoofer speaker ZENYE mwonekano wa bakuli kubwa ,na Zina Ile dust cap yenye shavu la rubber lililoinuka juu kama mfano wa sundown, Orion na wenzake wa Design hiyo
Wazungu wenyewe wanaita "basket "
Sisi tunaita kinu"
Na ni Kwa sababu ya performance yake interms of deep bass frequency handling from 20hz or sometimes 15hz. Pia from 1ohm or 2ohms or 4ohms kulingana na music preference Yako in wiring connections.
na ndo maana unakuta gari inafukuta bass nzito with balanced sound system in low volume.
Ahaa kumbe?sema zipo p.a za maana tu , zinacheza hadi 20hz brands kma Behringer , pronomic, mackie, Yamaha wapo vizuri sana huo upande
shida kibongo bongo kupata hzo mtihani san
hpo Nairobi hukosi vinu vya maanaAhaa kumbe?
Yeaah ni kweli mkuu hizo brand kuzipata mpaka uagize nje