Soundstage and Imaging ni vitu VERY BASIC kwenye 2 channel audio. Na any True 2-channel-system inatakiwa ikupe hivyo vitu.jamaa analeta mambo ya wasafi festival sebuleni sio[emoji16][emoji16]
Mkuu, unachosema sio kweli.We sound stage hio utaipata kwenye live band. Mziki ulioko recorded studio lazma usikie kwenye speaker.
Mziki wa live recording ndio utaimba hivyo unavyotaka wewe.
Hio system we unayo nije niskilize tru hi fi sounds?Mkuu, unachosema sio kweli.
Mziki uliokuwa recorded studio unaopigwa kwenye a TRUE 2 CHANNEL SYSTEM huwezi kuusikia directly kutoka kwenye Speakers. Kwa sababu system ya aina hiyo imetengenezwa kukupa UHALISIA wa mziki na sauti inapopaswa kusikika.
Tatizo ni kwamba Hujawahi kusikia system ya aina hiyo.
Note: Hapa nazungumzia A TRUE 2 CHANNEL SYSTEM...sizungumzii hii mi hiFi ya sony na lg ya laki saba.
Na ndiyo tafsiri halisi ya IMAGING. Speakers zinapaswa zikupe uhalisia wa stage.
Unasikia sauti kutoka sehemu halisi inapotakiwa kusikika...sio directly kutoka kwenye Speakers... na hapa ninazungumzia MZIKI ULIOKUWA RECORDED STUDIO.
Mkuu, I know what I'm talking about... siongei-ongei tu.
Yes ninayo. KaribuHio system we unayo nije niskilize tru hi fi sounds?
Wadau wa uzi huu tunakutuma uende ukausikilize huo mziki na ulete mrejesho hapa . Learning mode activatedPamoja sana mkuu, nipe picha tu nijiridhishe
Balaa zitoZaidi ya
Hio system we unayo nije niskilize tru hi fi sounds?
Kwa Mimi am sure kuwa kwenye requirements zote kuanzia subs, amplifaya, mixer na equalizer, mids na tweeter.Mkuu, unachosema sio kweli.
Mziki uliokuwa recorded studio unaopigwa kwenye a TRUE 2 CHANNEL SYSTEM huwezi kuusikia directly kutoka kwenye Speakers. Kwa sababu system ya aina hiyo imetengenezwa kukupa UHALISIA wa mziki na sauti inapopaswa kusikika.
Tatizo ni kwamba Hujawahi kusikia system ya aina hiyo.
Note: Hapa nazungumzia A TRUE 2 CHANNEL SYSTEM...sizungumzii hii mi hiFi ya sony na lg ya laki saba.
Na ndiyo tafsiri halisi ya IMAGING. Speakers zinapaswa zikupe uhalisia wa stage.
Unasikia sauti kutoka sehemu halisi inapotakiwa kusikika...sio directly kutoka kwenye Speakers... na hapa ninazungumzia MZIKI ULIOKUWA RECORDED STUDIO.
Mkuu, I know what I'm talking about... siongei-ongei tu.
Kenya hpo kuna kila kitu cha audioKwa Mimi am sure kuwa kwenye requirements zote kuanzia subs, amplifaya, mixer na equalizer, mids na tweeter.
"Ukiongeza crossover, epicenter (DSP) audio music enhencer yaani dynamic sound processor, midi nne na tweeter nne . Unapata zaidi ya unachoongelea mkuu .
Ila tafuta bei ya hio epicenter (DSP) utanyoosha mikono yote juu,
Hapa nakukubalia saana Kwa point Yako broh
true 2 channel unazipata kwenye monitor speakers,kama hizi za studio, ila jua keamba kila mziki una ladha yake,na sikio la kila mtu hutofautinaMkuu, unachosema sio kweli.
Mziki uliokuwa recorded studio unaopigwa kwenye a TRUE 2 CHANNEL SYSTEM huwezi kuusikia directly kutoka kwenye Speakers. Kwa sababu system ya aina hiyo imetengenezwa kukupa UHALISIA wa mziki na sauti inapopaswa kusikika.
Tatizo ni kwamba Hujawahi kusikia system ya aina hiyo.
Note: Hapa nazungumzia A TRUE 2 CHANNEL SYSTEM...sizungumzii hii mi hiFi ya sony na lg ya laki saba.
Na ndiyo tafsiri halisi ya IMAGING. Speakers zinapaswa zikupe uhalisia wa stage.
Unasikia sauti kutoka sehemu halisi inapotakiwa kusikika...sio directly kutoka kwenye Speakers... na hapa ninazungumzia MZIKI ULIOKUWA RECORDED STUDIO.
Mkuu, I know what I'm talking about... siongei-ongei tu.
Ni kweli kuna speakers specifically kwa ajili ya studio. Hizi huwa zinakuwa neutral with no color to the sound.. na ni mahususi kwa ajili ya kutengenezea mziki studio.true 2 channel unazipata kwenye monitor speakers,kama hizi za studio, ila jua keamba kila mziki una ladha yake,na sikio la kila mtu hutofautina
Okay here we go....Pamoja sana mkuu, nipe picha tu nijiridhishe
hii system ulishwahi ituma humu ila sikumbuki ni uzi gani.Okay here we go....
Naitambulisha kwenu The Fives from Klipsch.
A true HiFi System, designed for music.
Brand: Klipsch
Model: The Fives
INTRO:
Ni powered Speakers. Maana yake iko na in-built amp.. Na ina inputs connections almost zote
SOUND:
- It has a very BIG Sound.. They sound very BIG.
- Zile sifa za Soundstage and Imaging nilizozungumza kwenye comment iliyopita, unazipata hapa.
-Zinapopiga mziki, zina-dissappear. You just hear Music but You don't hear music directly from the speakers.
Zinakupa UHALISIA wa mziki in terms of sauti/instrument inatakiwa isikike kutoka wapi.
- Kwa upande wa Bass, zina Bass ya kutosha sana. Ila una option ya kuongeza sub kama utataka. (Honestly sijawahi kuhitaji kuongeza sub...The Bass here is more than Enough for me)
MY OPINION:
Kwa kifupi... Zina sound vizuri sana... I mean SANA.
Ni speakers zilizonipa Taste na experience mpya ya mziki ambayo sikuwahi kuipata popote hapo kabla.
Binafsi Naamini mtu akionja hii ladha, ni ngumu sana kurudi kwenye homethearters/soundbars na subwoofers.
Naambatanisha na Picha kama ulivyoomba.View attachment 2629947View attachment 2629948
Alipaswa kutuma halisi kama ile yakohii system ulishwahi ituma humu ila sikumbuki ni uzi gani.
Exactly. Ila sikuweka maelezo ya kuielezea sana kama nakumbuka vizuri.hii system ulishwahi ituma humu ila sikumbuki ni uzi gani.
Halisi kivipi? Hii sio halisi?Alipaswa kutuma halisi kama ile yako
Hapana mkuu makochi hapa hayahusiki nilidhani wawezi piga picha ya mziki yenyewe bila kuonyesha mazingira mengine ya sebule.Halisi kivipi? Hii sio halisi?
Au unataka nitume uone na makochi seblen kwangu?
Uko wapi nije niskilize hio soundstageOkay here we go....