Mkuu, Hapo kwenye Rnb na hiphop tuko pamoja.Mkuu tafadhali hizo playlist zako Sina .
Alafu Mimi Sina singeli hata Moja
Natumia RnB, reggae riddims, hip-hop
Na amapiano .
Asa tumia sabufa Yako Kwa hizo aina ya nyimbo utakuja unanunua redio mpya daily.
Alafu Mimi nmeanza kumiliki redio tangu nikiwa mdogo na mpaka home Theater la sea piano nmeligawa coz halinipi frequency za kutosha kwaio hapa Nimeridhika ata nikiweka sauti ya chini saana kile kishindo kizito kinasikika haswa boss
jamaa yko katoka kumfanyia review hyo mnyama hapo, atakupa habari kamili[emoji16][emoji16][emoji16]Ntakuwepo huko weekend, ntakucheki[emoji3]
hii cylinder sio pioneer 310d4 kweli??Waungwana habari ya uzima? Mi Bado najikusanya taratibu kama hivi,
""Wazee Hio cylinder iliyolala hapo chini ni kisanga kingine"
Mziki wa hizi mashine Kila mtu anajiuliza ni woofer Gani natumia.
Ninazo spika tatu za design hii ndani ila nimefunga mbili tu ila nasubilia monoblock amplifier Ili nibalance
View attachment 2621287
hii cylinder sio pioneer 310d4 kweli??
Amenipa ripoti jana usiku, report imekuja 100% satisfaction guaranteed. 😀 Amekubali hata Sony anakalishwa humo.jamaa yko katoka kumfanyia review hyo mnyama hapo, atakupa habari kamili[emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 2627552
Ameniambia ni maangamizi mazito humo 😀jamaa yko katoka kumfanyia review hyo mnyama hapo, atakupa habari kamili[emoji16][emoji16][emoji16]View attachment 2627552
Ulete mrejesho mzeeOya niko Nkuhungu, hebu nipe code sasa wapi unasomeka.
Yeaah zinafanana ila 3003d4 kile kidust cap Cha pioneer rangi yake ni kijivu ,309, 310 na 3003d4
zinafanana sana.
Maeneo ya makole kalibu na cbe chuonOya niko Nkuhungu, hebu nipe code sasa wapi unasomeka.
hta hyo 310 top cover ni kijivuYeaah zinafanana ila 3003d4 kile kidust cap Cha pioneer rangi yake ni kijivu ,
Ila hizi nyingine ni nyeusi
uchukue na viclips mkuuNatoka UDOM nasogea hapo.
nilimuekea ule mgoma wa Sean Paul-like glueAmeniambia ni maangamizi mazito humo [emoji3]
Ahaa kumbe apo sawa mkuuhta hyo 310 top cover ni kijivuView attachment 2628379
Mkuu hilo zaga lako kwa uelewa wako ukilinganisha na mziki wa kusuka kama ule wa filibert spiker moja la pioneer na twitter zake upi utakuwa na gonga sana?nilimuekea ule mgoma wa Sean Paul-like glue
daaah alipagawa kwa ile tight bass iliyokuwa inatoka.