Call m3 Anwar
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 290
- 509
Hizo model ulizozitaja hapo chini bajeti yake ikoje kwa sasa?Mzee kwanza haina settings za ku regulate sauti
independently. Kuna EQ presets button ya rock,pop,jazz nk.
Bass haijai vyema ni almost imemezwa na mids za sorround speakers zile. Kwa bass lovers its a serious turn off. Inshort kelele ziko juu kuliko bass na ili uisikie bass walau kidogo ni labda u turn volume hadi 6O.
Niliomba remote yake niangalie huenda kuna button ya kujazia bass mle ila sikufanikiwa kuipewa. Better of hizi model za KT-2913 na KT-2812 zenye passive bass radiators for serious deep bass.
This Kodtec 2OOOw hometheatre is a serious joke mazee.
Kodtec ya laki na nusu unaisimulia kama sony ya laki sita vileKwa wale Music enthusiasts wenzangu last Weekend katika kuzurura katika viunga vya M.City i came across duka la Kodtec. Hawa jamaa wanauza appliances zao mbali mbali pale zikiwemo Subwoofers.
Kishindo cha mziki wenye vipimo madhubuti ambacho sikukitegemea kilipenya katika ngoma zangu za masikio na Ilibidi nizame chap kuuliza jamaa wanioneshe hicho kitu kinachotoa huo mziki. Cha ajabu ilikuwa ni subwoofer box moja hivi with sleek design.
Ukaguzi uliendelea na kuona ni subwofeer box yenye bass speakers 3! 2 Deep bass 12" Speakers kushoto na kulia wakati mbele kuna 10" Mid bass (woofer)! Hii subwoofer iko accompanied na Speaker ndogo za kupiga mid and high frequencies ambazo zinafanikisha hii Kodtec iwe super clear sound system.
Tukija kwenye wattage hii system ni 300Watts RMS value! Utaona kwamba Peak Music Power Output ni obvious itakuwa around 1200w! The bass effects that come out of this subwoofer ni exceptional you hear both boomy and dynamic bass effortlessly sijui wametumia amplifier aina gani humu ila mziki una sound kama mziki wa gari kabisa 😁😁😁!
Kimsingi nilikuwa naona subwoofer za 2.1 Channel ni utopolo ila sio kwa Subwoofer za Kodtec wazee, naomba niombe radhi kwa wamiliki wote wa Speaker Systems za Kodtec!
View attachment 1698253
Unyama ndo huu sasa,[emoji41][emoji41]View attachment 2306580
hyo subwoofer ya katikati ni kma 2913 inafanana kila kituUnyama ndo huu sasa,[emoji41][emoji41]View attachment 2306580
huu unyama pesa ngapi??
Siku ukikutana na an American speaker-BOSE ,you will feal it.Kwa wale Music enthusiasts wenzangu last Weekend katika kuzurura katika viunga vya M.City i came across duka la Kodtec. Hawa jamaa wanauza appliances zao mbali mbali pale zikiwemo Subwoofers.
Kishindo cha mziki wenye vipimo madhubuti ambacho sikukitegemea kilipenya katika ngoma zangu za masikio na Ilibidi nizame chap kuuliza jamaa wanioneshe hicho kitu kinachotoa huo mziki. Cha ajabu ilikuwa ni subwoofer box moja hivi with sleek design.
Ukaguzi uliendelea na kuona ni subwofeer box yenye bass speakers 3! 2 Deep bass 12" Speakers kushoto na kulia wakati mbele kuna 10" Mid bass (woofer)! Hii subwoofer iko accompanied na Speaker ndogo za kupiga mid and high frequencies ambazo zinafanikisha hii Kodtec iwe super clear sound system.
Tukija kwenye wattage hii system ni 300Watts RMS value! Utaona kwamba Peak Music Power Output ni obvious itakuwa around 1200w! The bass effects that come out of this subwoofer ni exceptional you hear both boomy and dynamic bass effortlessly sijui wametumia amplifier aina gani humu ila mziki una sound kama mziki wa gari kabisa 😁😁😁!
Kimsingi nilikuwa naona subwoofer za 2.1 Channel ni utopolo ila sio kwa Subwoofer za Kodtec wazee, naomba niombe radhi kwa wamiliki wote wa Speaker Systems za Kodtec!
View attachment 1698253
Hii combination ya kibabe sana😂😂😂Unyama ndo huu sasa,😎😎View attachment 2306580
Bass speaker umetumia ya kampuni gani?Unyama ndo huu sasa,😎😎View attachment 2306580
soundbar ni kampuni gani na wapi umenunuaHapo nimefanya upgrade Kwa kuongeza soundbar ya 150k,
Na hiyo deck ni Bluetooth multifunctional receiver yenye preamp ndani na Kila aina ya input Kwa ajili ya kudisplay kwenye monitor au tv yoyote jumla 450k+150k= 600k
Hizo tall standing speakers nilizing'oa kwenye subwoofer nyingine abayo ilikua nikainstall kwenye hizi za kodtec kt913 kwaio ndo nmejifanyia self upgrade Kwa system yangu
2911 hyo nayo ipo bongoView attachment 2295583
Unyama ndo huu sasa,[emoji41][emoji41]View attachment 2306580
soundbar ni kampuni gani na wapi umenunua
Yeaah .....Naamini kwamba....Siku ukikutana na an American speaker-BOSE ,you will feal it.
Nimetumia kodtec kt 2913 na nikafanya self upgrade kama wakina Sony😂😂Bass speaker umetumia ya kampuni gani?