korokwincho
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 1,071
- 1,316
2911 hyo nayo ipo bongoNi kwamba sequence ya kodtec subwoofers model za
1.kt 2812, inayozungumzwa na chief extrovert,
2. kt 2913. (Same na ya hio ya juu[emoji115][emoji115])
( Hizi zote zina same specifications)
Yan 150 RMS watts.)
I.e woofer au bass speaker Ina
RMS 100 watts.
Satellites speakers ni 2 na @ speaker Ina 25 RMS watts kwaio x 2= 50 RMS watts.
Therefore system nzima , RMS power ni 150 RMS watts.
3. Kodtec kt 2912.
Hii ni toleo jingine la kodtec updated ya hio ya juu[emoji115][emoji115].
Hii Ina 250 RMS power.
I.e
Bass woofer Ina 150 RMS watts.
Two-Satellite speakers @ 50 RMS Watts x2= 100 RMS watts.
Therefore system nzima Ina 250 RMS watts.
( Hapa naingelea RMS power only )
Asa huu ni unyama saana .
""Feel the power""
Kama Salpido subwoofers wanavyosema
4. Ni Kodtec kt 2911 .
Hii ndo Ile ina 2000 watts total.
-Bass speaker yake Ina 1000watts,
Na satellite speakers ni 1000watts total
i.e @ satellite speaker ni 200 watts x5 = 1000 watts .
Hivyo bas the total watts ni 2000 watts
N.b kwangu Bado naitafuta hii kwenye mastores ya mtandaoni Ili nijue source ya toleo hili jipya ni wapi pamoja na real subwoofer specifications Zake.
But to me naipenda salpido AMX 6 au kodtec kt 2912 model
( Asanten)
Bei rafiki kabisa hii sema dundo litakuwa msala2911 hyo nayo ipo bongoView attachment 2295583
Mkuu ntaipataje hii? Pesa sio tatizoNimesoma maelezo mtandaoni wanainadi ina output ya 200w kila spika, yaani 200w X 5 halaf boofer pekee lina 1000w, si balaa hili[emoji23][emoji23][emoji23]. Nikipata feedback ya mmoja wa wamiliki huu mdude nauweka ndani. 470k bei yake kwa sasa
Nenda kariakoo mtaa wa congo na uhuru unapata remotNina sony home theater system dz350 je siwezi pata sound nzuri bila remote? Maana sina remote yake original nakosa setting zake
Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
Kama pale akuna usiangaike utaambiwa toa hela tukuagizie mwisho wa siku freequenc haziendaniNgumu kupata pale nilienda sikupata hata zenyewe haziingiliani zile speaker fupi na ndefu japo zinafanana kila kitu
Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
Ukipata kitu OG kkoo uniite mbwa ,nipo paleee nimekaaKkoo wanauzaga vitu original kweli?
Nataka niende kwa wakala wa sony mnazi mmoja nitanunua kwa iyo 70,000 iliipate yenyewe karakoo walinipa zile master lakini zinafanya baadhi tu Za batani zingine hakuna kituKama pale akuna usiangaike utaambiwa toa hela tukuagizie mwisho wa siku freequenc haziendani
Mkuu adi hao Dealers wanamix na copy/DuplicateKariakoo vitu original vipo kwa authorised dealers na hata maduka mengineyo utapata Original Provided ni toleo ambalo ndio limeingia sokoni tu...Likishakaa miezi kadhaa ndio zinaanza kuja feki zake zake incase bidhaa imekubalika vizuri wanaanza kuleta feki ili wapige hela zaidi.
Utanisaidia na mimi namba ya wakala nami yangu ilipasukaNataka niende kwa wakala wa sony mnazi mmoja nitanunua kwa iyo 70,000 iliipate yenyewe karakoo walinipa zile master lakini zinafanya baadhi tu Za batani zingine hakuna kitu
Sent from my ALE-L21 using JamiiForums mobile app
Ninae mtu nilisave namba yake anaziuza kkoo, nimemuulizia juzi kanifahamisha bei elekezi 450k, unaweza mpoesha ukiwa muongeaji mzuri. Pm nikupatie nambaMkuu ntaipataje hii? Pesa sio tatizo
MREJESHO:Nimesoma maelezo mtandaoni wanainadi ina output ya 200w kila spika, yaani 200w X 5 halaf boofer pekee lina 1000w, si balaa hili[emoji23][emoji23][emoji23]. Nikipata feedback ya mmoja wa wamiliki huu mdude nauweka ndani. 470k bei yake kwa sasa
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] doooh imekuwaje tena?MREJESHO:
Leo nilipita Kodtec stores za kariako kucheki kama hiyo system ya 2OOOw Lives up to its name.
Kiukweli Kodtec wameharibu reputation.
Kimsingi hii model ni ya kipuuzi mno sishauri mtu anunue.
Mzee kwanza haina settings za ku regulate sauti[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] doooh imekuwaje tena?
Kumbe wamepuyangaaMREJESHO:
Leo nilipita Kodtec stores za kariako kucheki kama hiyo system ya 2OOOw Lives up to its name.
Kiukweli Kodtec wameharibu reputation.
Kimsingi hii model ni ya kipuuzi mno sishauri mtu anunue.