Kinaweza kuwa na 1000wna bado ukawa kelele,music autput ni zaidi ya watts, kama pre amplifier haina DSP nzuri ni bureUkipate Chuma kinachosukuma watts kuanzia 1000 watts huo mziki wake Sio Poa Utavunja Vioo
Wakuu habari za jumapili natumaini mko powa
Kwa sasa nataka nichukue radio sina sana mawe yakutosha nilitaka nichukue hii radio ya kodtek kt 2319 au seapiano zile old model au hisense hi fi radio maana atleast kuna muziki
Tupeane kuna spiki nzuri zaidi ya hizi tukiachana na anker,sony,jbl ,samsug,pionerr
Unachanganya babu, sasa kati ya SeaPiano na hiyo KodTek ipi inatoa punchy bass na ipi ni boomy.Hivi nyie mnaijua hiyo kodtec aliyoitaja hapo juu kweli Sasa ichukue uilinganishe na seapiano ndio uchawi unaanzia hapo Sasa.
Mimi Ninazo zote, seapiano toleo la mwanzo (hii inakita sana mjue sema sio deep ni tight & punch bass) na hiyo kodtec hapo. Hiyo kodtec inakita Mziki deep & smooth bass, sana yaan kama jbl Fulani hivi ya kibabe sana ila seapiano ni boomy bass Ile bass ya kuungurumisha mabati, milango na madirisha.
Hiyo KodTek bei gani mkubwaWakuu habari za jumapili natumaini mko powa
Kwa sasa nataka nichukue radio sina sana mawe yakutosha nilitaka nichukue hii radio ya kodtek kt 2319 au seapiano zile old model au hisense hi fi radio maana atleast kuna muziki
Tupeane kuna spiki nzuri zaidi ya hizi tukiachana na anker,sony,jbl ,samsug,pionerr
Hilo toleo balipo kwa sasa,ilikuwa inauzwa kuanzia 450Hivi nyie mnaijua hiyo kodtec aliyoitaja hapo juu kweli Sasa ichukue uilinganishe na seapiano ndio uchawi unaanzia hapo Sasa.
Mimi Ninazo zote, seapiano toleo la mwanzo (hii inakita sana mjue sema sio deep ni tight & punch bass) na hiyo kodtec hapo. Hiyo kodtec inakita Mziki deep & smooth bass, sana yaan kama jbl Fulani hivi ya kibabe sana ila seapiano ni boomy bass Ile bass ya kuungurumisha mabati, milango na madirisha.
Halipo sokoni kwa sasa,bei yake ilikuwa 450,000Hiyo KodTek bei gani mkubwa
roho ya paka hii alinunua mzee wang 2011 mpaka leo ipo inadundaaMkuu kama unataka seapiano chukua SP-1002
Unachanganya babu, sasa kati ya SeaPiano na hiyo KodTek ipi inatoa punchy bass na ipi ni boomy.
Hilo toleo balipo kwa sasa,ilikuwa inauzwa kuanzia 450
Mkuu wewe ni audiophile, unajua sound. Tatizo wengi wamekariri masabufa na masound bar yao.Sasa huko kwenye AVR ndio kuna option zote za mziki na movie, setting za kutosha, connection za apeaker za kutosha, ukiingiia huko hutakaa utoke kamwe! Karibu sana
Hisense anakalishwa na seapeano,tafuta seapiano ana matoleo mapya mauri sana
Tafuta sea piano toleo jipya ,wameboresha sanaNina Hisense soundbar, lakini kusema ukweli, nimejuta kuinunua. Bora ningechukua Sepeano yangu tu, ambayo nimeiacha mkoani. Mimi najua ninachokisema linapokuja suala la mziki. Sound clarity yenyewe si ya kuridhisha, bass nayo hakuna ile ladha unayoitarajia. Kwa kifupi, kwangu imekuwa disappointment kubwa. Ushauri wangu, usiingie mtego wa kununua Hisense soundbar au hivi visoundbar vingine vya kichina kwa kutegemea matangazo na muonekano wake. Bora utafute mfumo wa sauti unaotoa mziki wenye ladha halisi. Mimi nimejifunza kwa uzoefu, na kwa kweli najuta!
Naam, watts kuwa kubwa sio kigezo kabisaKinaweza kuwa na 1000wna bado ukawa kelele,music autput ni zaidi ya watts, kama pre amplifier haina DSP nzuri ni bure