Mjasiriamali1
JF-Expert Member
- Jun 8, 2009
- 891
- 240
kilimo cha kutegemea mvua ni upuuzz wa hali ya juu
Mkuu ni wewe uliyeanzisha uzi unaohusu kuchukua masters na katika moja ya response zako kwa waliokushauri kuhusu kilimo, biashara n.k. ulisema kilimo hakilipi? Nauliza tu.Sio kila mtu mwenye mtaji wa kufanya irrigation, kwa wilaya ya handeni mahindi hayana upinzani. Wala hayana tatizo, ulizia wenyeji watakupa siri ya mafanikio, irrigation its costly, kwa kila kitu, alafu tunaenda kipindi cha mvua, mvua inanyesha eti na wewe unamwagilia? Itakuwa ni akili au matope?Wakati wewe ukilalamika na kutoa negative watu tunazidi kufungua mashamba. Nakupiga ela umwagiliaji nenda morogoro huko, nenda ruvu na sijui utamwagilia nini Na mvua zinakuja, utaoneka hujakamilika watu wanapalilia wametulia mvua zinanyesha Na wewe eti unamwagilia tena kwa gharama. Mahindi Handeni ni kutengeneza pesa tuu. I doubt Kama kweli wewe ni mkulima.
Asilimia 90 ya vyakula vya Tanzania vinategemea mvua, unaongea ujinga,kilimo cha kutegemea mvua ni upuuzz wa hali ya juu
Mkuu ni wewe uliyeanzisha uzi unaohusu kuchukua masters na katika moja ya response zako kwa waliokushauri kuhusu kilimo, biashara n.k. ulisema kilimo hakilipi? Nauliza tu.
Mwakajana kiteto watu kilimo kiliwatenda sijui mwaka huu itakuajeWeka bei mkuu mimi nipo kiteto namalizia mashamba yangu nina matractor yangu yatakuja msimu wa Handeni wakimaliza huku.ila bei zake kukodi shamba kwa heka moja ni kuanzia elfu 30 hakuna bei zaidi ya hizo au weka bei zako tuzione
Nakodisha shamba tsh 25000 taslimu kuna heka tano, ila visiki havijang'olewa. Punguzo lipoWeka bei mkuu mimi nipo kiteto namalizia mashamba yangu nina matractor yangu yatakuja msimu wa Handeni wakimaliza huku.ila bei zake kukodi shamba kwa heka moja ni kuanzia elfu 30 hakuna bei zaidi ya hizo au weka bei zako tuzione
mkuu mimi nahitaji heka 20 za kununua zinapatikanaKuna mashamba ya elfu 30, nitakuonyesha ila usije kimbia. Ila Handeni mjini(magungu) mashamba ya elfu 30 hakuna.huko vijijini kwenye nguruwe pori,nyani wa kutosha ole wako upande mahindi,wanakijiji wanasubiri upande tuu wakuibie,hata ya elfu 10 utapata, hata ya bure yasiyofunguliwa utapata, hakuna hata njia za magari.
Ucheze na pori alafu tuone kama utaweza kuingiza trekta lako, yuko Mzee anakodisha mpaka laki 1 kwa heka alafu hata elfu 90 hachukui na watu wanakodisha ardhi ya kule Si mchezo mwenyewe utaikubali.
Kama kweli we mwenyeji nitakuonyesha huko sehemu Kwangu Mimi ni elfu 50 tunaandikiana mkataba. Hakuna punguzo.
Si una tractor?Ukinilimia heka kwa 20,000/= vizuri. Na Mimi nitakufanyia 30000/= kukodi heka. Unasemaje?