John Wicks Mulholland
JF-Expert Member
- Apr 13, 2023
- 7,945
- 17,286
Tatizo lililopo Tanzania siyo suala la makusanyo ya Kodi au kiwango Cha bajeti ya Serikali, Bali tatizo ni matumizi mabaya Sana ya fedha za Walipakodi wa nchi hii ya Tanzania.Kodi zetu ndio Maendeleo ya Taifa letu.
Mwaka 2021/22- Trillions 22.2.
Mwaka 2022/23- Trillions 24.1.
Mwaka 2023/24- Trillions 27.6
====
Pia soma:
Tunaomba ujibu na maswali, kwanini serikali hambani matumizi makubwa na ya anasa? kuna haja gani bunge kukaa siku 100 kujadili budget na wakati kuna TEHEMA? teua hamisha tengua zote ni gharama pamoja na ununuzi wa magari ya starehe V8Kodi zetu ndio Maendeleo ya Taifa letu.
Mwaka 2021/22- Trillions 22.2.
Mwaka 2022/23- Trillions 24.1.
Mwaka 2023/24- Trillions 27.6
====
Pia soma:
Ni uongo tupuKuna wakati mlituambia kuwa tuko UCHUMI WA KATI ila naona kwenye takwimu ulizoambatanisha hapo inaonekana kuwa UCHUMI WETU UMEPANDA KWA SASA UKILINGANISHA NA NYAKATI ZILE ZA UCHUMI WA KATI. Sasa swali langu ni Je,kama taifa letu limekua KIUCHUMI tumehama kutoka UCHUMI WAKATI,NA SASA tuko kwenye UCHUMI WA DARAJA GANI?
Kweli tupu, kuna wizi mkubwa sn na matumizi makubwa ya hovyo?Tatizo lililopo Tanzania siyo suala la makusanyo ya Kodi au kiwango Cha bajeti ya Serikali, Bali tatizo ni matumizi mabaya Sana ya fedha za Walipakodi wa nchi hii ya Tanzania.
Unaweza kuona kwamba Bajeti iliyotengwa ni TShs. Trilioni 27.6, lakini mafisadi peke yao wanahujumu takribani 60% ya fedha zote kabisa za bajeti zilizotengwa kwa Mwaka husika, then 40% iliyobaki ndio inapelekwa kwenda kuhudumia Watanzania wote, Sasa katika hali kama hii hayo maendeleo ya nchi yatapatikanaje???
Mwigulu tuambie kwenye nchi masikini kama Tanzania kuna sababu gani ya mtu kulipwa mshahara zaidi ya milioni mbili mtumishi wa umma kama siyo wizi na ubinafsi, utumishi wa umma imegeuka ni sehemu na kuiba na kutajirika ghaflaKodi zetu ndio Maendeleo ya Taifa letu.
Mwaka 2021/22- Trillions 22.2.
Mwaka 2022/23- Trillions 24.1.
Mwaka 2023/24- Trillions 27.6
====
Pia soma:
Mawazo yote ni kuiba mali za ummaNi kiongozi mwenye IQ ndogo tu atashindwa kutumia rasilimali za nchi hii ambazo Zina thamani ya Quadrillion of tzshs. Badala yake solution hudhani kuongeza wigo wa kodi
Sasa unamjibia kama mkewe au PS wake?Hiyo kazi inakufaa wewe mnafiki, siyo mimi.
Nchi masikini kama hii kuna sababu ya mtumishi wa umma kulipwa zaidi ya milioni mbili kama siyo wizi na ufisadi + ubinafisi, serikali hii inateswa na matumizi ya anasa na wiziAcheni matumizi ya kifahari, nchi yetu na watu wake ni masikini sana mnanunua magari ya kifahari hadi milioni 600 ya nini! Tunajua tukitoa ushauri kama huu mnatubeza na kudharau lakini tutaendelea kupaza sauti kuwaeleza.
Mnadai serikali haiwezi kugharamia afya za wananchi wake lakini mnaweza kujinunulia magari ya kifahari na kujilipa maposho makubwa makubwa! Huu ni ubaguzi na haukubaliki na kwa mwenendo huo mtaendelea kukimbizana na wananchi katika suala la ukwepaji kodi na hamtopata ushirikiano wa kutosha maana mtu haoni faida yake.
Mimi sipo hapa kuchukua nafasi yako katika hayo unayo pambania kwa waziri. Kwa hiyo kwa upande huo usitie shaka.Sasa unamjibia kama mkewe au PS wake?
mnakusanya mapato hafu mnayatumia vibaya.. sasa hapo ndo mnafanya nini?Kodi zetu ndio Maendeleo ya Taifa letu.
Mwaka 2021/22- Trillions 22.2.
Mwaka 2022/23- Trillions 24.1.
Mwaka 2023/24- Trillions 27.6
====
Pia soma:
Ndiyo maana wananchi wana chuki kubwa dhidi ya hawa watawala.Nchi masikini kama hii kuna sababu ya mtumishi wa umma kulipwa zaidi ya milioni mbili kama siyo wizi na ufisadi + ubinafisi, serikali hii inateswa na matumizi ya anasa na wizi
Unamwomba au unamwambia?Sema punguza kujibu vibaya mkuu.....
Kuna watu wanaitwa Seniors hawana kazi wanafanya lakini mishahara yao ni zaidi ya milioni 3, milioni 3 ingeweza kulipa vijana 6 kwa laki 5 kwa mwezi na huduma zingekuwa bora snNdiyo maana wananchi wana chuki kubwa dhidi ya hawa watawala.
Upo sahihi kabisa, wanadharau sn hawa jamaa ndiyo maana nchi haina maendeleo sababu hakuna midahalo"hajaonekana tena akionekana mnikamatie" amekuja kutukejeri sisi watoto wa maskini..?