BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 5,532
- 14,164
Hii Serikali na hasa huyu Raisi ni mtu wa matumizi ya Anasa sana, anaamini kwenye matumizi ya anasa.Ni sawa kodi ni maendeleo ya nchi,bila kupunguza matumizi ya anasa hakika tutapiga hatua mwendo wa konokono.
Manunuzi ya magari mengi ya gharama kubwa L/C V8,Nissan.... ni kaburi la kodi za walipa kodi.
Mikutano,Makongamano,Warsha na safari za hovyo hovyo hakika ni matumizi ya hovyo ya fedha za umma.
Kuuziana Magari ya thamani kubwa ya serekali kwa bei ya nyanya kunawakatisha tamaa walipa kodi.
Serekali ni lazima ibane matumizi si kuongeza na kubuni kila uchao vya kodi.
Kuhusu makusanyo ya kodi naomba kutofautiana na wewe.
Ongezeko la kodi pia linatokana na makusanyo ya TANAPA,TAWA,Ngorongoro kuingizwa kama kodi wakati hizi taasisi zilitakiwa kuachiwa fedha zake na kuilipa gaiwo kama ilivyo bandari,CRDB,NMB,NHC......
Kifupi hesabu za TRA hazina ukweli kwakuwa fedha za TANAPA &Ngorongoro si kodi bali ni mapato ya hizo taasisi.
Nashangaa CAG alishalitolea ufafanuzi suala hili lakini bado serekali inaendelea kuwadanganya wananchi na kuirundukia sifa TRA bila sababu za msingi.
Nina uhakika high season inayoanza mwezi 7 hadi 10 TRA itabebeshwa sifa za uongo kupitia mgongo wa TANAPA & Ngorongoro.
Ngongo kwa sasa Kibanda maiti.
Hatuna shida na kodi,infact tunataka wigo wa ukusanyaji kodi uongezeke na wala hatukatai kulupa kodi,shida ni kodi zetu manzitumia hovyo kwa manufaa yenu binafsi na kisiasa.Kodi zetu ndio Maendeleo ya Taifa letu.
Mwaka 2021/22- Trillions 22.2.
Mwaka 2022/23- Trillions 24.1.
Mwaka 2023/24- Trillions 27.6
View attachment 3033852
Mmeshindwa kumng'oa Mbowe kwenye Uwenyekiti wa Chama miaka 24 Sasa ndio umng'oe Waziri anayeteuliwa na kutenguliwa na Mh. Rais wakati wowote? Ahahahahaha!!!Mkuu huna lolote!, ile ya Jengo nani kaitoa buku jero hadi buku 2
Tutahakikisha tunakung'oa kwa udi na uvumba
Yaani kwa hapo Kenya tu pesa yetu iko hoi!!.Vipi kuhusu pesa kushuka thamani unadhani makosa ni ya wizara ya fedha au wananchi kiujumla?
Wangeipuuzia hii thread, angelala aamke akute likes 0 comments 0It's wastage of time kuuliza maswali ambayo hayatajibiwa.
Maswali muhimu kama haya hatayajibu.Karibu tena Mkuu, baada ya kuadimika humu Kwa kipindi kiasi..
Umekuwa Serikalini ukihudumu nafasi mbalimbali kwenye Baraza la Mawaziri
Swali langu; Kipi kimefanya kiwango cha Kodi tunachokusanya kipande awamu hii kulinganisha na awamu iliyopita?
Swali la pili, pamoja na makusanyo ya kikodi kuwa makubwa kwanini bado tunaendelea kukopa?
Kodi mnatukamua na kuzichezea mtakvyo kifisadi. Mnamiliki mali ambazo hamuwezi kuzitolea maelezo jinsi zilivyo patikana. Ipo siku Mungu anaingilia kati kutuokoaKodi zetu ndio Maendeleo ya Taifa letu.
Mwaka 2021/22- Trillions 22.2.
Mwaka 2022/23- Trillions 24.1.
Mwaka 2023/24- Trillions 27.6
View attachment 3033852
Umesema sahihi Mkuu 🙏Maswali muhimu kama haya hatayajibu.
Waziri pekee anajiamini na kujitambua,, mwenye uthubutu wa kujibu hoja hapa jamvini ni Dr. Dorothy Gwajima pekee.
Hawa wengine wako kisiasa zaidi.
Huyu ameweka hili bandiko akilenga uchaguzi ujao.
Hakuna mtu asiyetaka kulipa kodi...Kodi zetu ndio Maendeleo ya Taifa letu.
Mwaka 2021/22- Trillions 22.2.
Mwaka 2022/23- Trillions 24.1.
Mwaka 2023/24- Trillions 27.6
View attachment 3033852
Hatari sana Mkuu 🙌jibu ni kwamba wana gharamikia matumizi yao ya anasa