Waziri Wa Ardhi Nyumba na Makazi, Mh. Lukuvi ametangaza kampeni ya Ulipaji kodi kwa kila mwenye shamba au kiwanja
Je..Kama wewe umenunua kiwanja na unadunduliza pesa ili ujenge..huoni bei ya Kiwanja itakuja kuwa mara 2?
Je Wale wenye viwanja kama 2 mpaka 8...utalipia kodi viwanja vyote au utaamua kuuza upunguze mzigo wa kodi?
Je hii kodi ya viwanja..itaaffect bei za viwanja?
Kwa nini Serikali isichukue kodi ya miaka 5 kwa mashamba yake na kukabidhi watu wanaotaka kwa makazi au Kilimo (Hii itaondoa ulanguzi wa viwanja) Example Kigamboni...Burka, ....Arumeru/NSSF, Mbeya Forest, Njiro Kiserian