Tajiri Kichwa
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 9,020
- 22,093
Msamehe bureUnaelewa maana ya kodi ya huduma?
Hiyo ni 0.3% ya production. Ulitaka watoe kiasi gani baada ya kulipa 30% corporate tax na 4% on production royalty?
Watanzania wengi ni hopeless kabisa. Wanaenda shule kujifunza kutengeneza sentensi za kiingereza lakini siyo kukuza analytical thinking.