Swash Bizo
Senior Member
- Jan 29, 2011
- 141
- 93
Habari ni wana JF.
Kutokana na uthibiti wa EFD receipt ktk kila kituo cha kujazia mafuta sasa tunaweza kupata Kodi stahiki kwa kudhibiti yafuatayo:
1. Udanganyifu wa kulipa income tax kwa kila kituo cha mafuta.
2. Udanganyifu wa kuweka record za ununuzi na uuzaji wa mafuta kutoka yanapoanzia hadi kwa mtumiaji. Hapa kwa kila kampuni iliyohusika italipa kodi stahiki.
3. Uthibiti wa uuzaji wa mafuta ya dili yasiyokuwa na uhalali wa uingizaji. Hapa tunajiongezea mapato.
Hongera Dr. Mpango!
Sent from my itel it1409 using JamiiForums mobile app