Kodi umepanda kimya kimya kwenye Bia? Leo bei za jumla na rejareja zimepaa ila kwenye bajeti haikusemwa kama inapanda.

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
Wadau nashangaa leo bei ya bia ya 1,500 inauzwa shs 2,000 nikahoji sababu wakadai bei ya jumla wamepandishiwa toka kreti waliokuwa wakinunua shs 24,500 hadi 30,000 kwa kreti ya bia.

Najiuliza ina maana Serikali ilificha ongezeko la kodi ili iweje?
 
Nyumbani kumenoga Gongo imekuwa mali sana mkuu unapiga ya buku na senetor ya buku na jero
 
Wadau nashangaa leo bei ya bia ya 1,500 inauzwa shs 2,000 nikahoji sababu wakadai bei ya jumla wamepandishiwa toka kreti waliokuwa wakinunua shs 24,500 hadi 30,000 kwa kreti ya bia.

Najiuliza ina maana Serikali ilificha ongezeko la kodi ili iweje?
Achana na bia blaza kunywa maziwa...
Ila wandugu tusaidiane,hawa manabii wanauza chumvi,maji,vistika,mafuta nk. ukiacha sadaka je,kwanini hawalipi kodi?
Nimeenda mkutanoni tulifika yapata watu yapata 7000 naamini watu zaidi ya 3000 walinunua bidhaa mojawapo au zote kwa buku buku sasa kwasiku milioni tatu na zaidi bila kodi jameni??
Hawa ni matajiri ndomana wanaongezeka kila uchwao,wanaishi kifahari kwa pesa za walalahoi wengi...kwanini wasilipe kodi na barabara kwenda makanisa yao wanatengenezewa kwa kodi zetu?? Kamavp watoe bure lasivyo hiyo ni biashara inayopaswa kutoza kodi tuache kuwavungia vyuma vimekaza asee
 
Back
Top Bottom