Napenda kusema kwa dhati ya kwamba, kodi(bei) kubwa mara zote hua kigezo kizuri kabisa cha kudumaza uchumi. Hivyo niseme kwa dhati kabisa, nafikiri kodi(bei jina sahihi) inayotozwa Tanzania hasa hasa bandarini inadumaza uchumi kwa kiwango kizuri kabisa.
Rais Magufuli, naamini anasimamia na msimamizi wa sheria, lakini wenda sheria nyingi unazosimamia zilizotungwa na wabunge na organs husika ni sheria mbovu. Unaweza kuwa msimamizi mzuri wa sheria hizi, lakini kwa vile ni sheria mbovu, majibu yatakuwa majibu hasi.
Uchumi naamini haujengwi kwa kukata kodi (bei kubwa) isiyo haki. Hapa utapata wateja 100 kiduchu badala ya wateja potential milion 10. Uchumi unajengwa kwa kodi yenye asilimia ndogo na watoaji wengi , mfano milion 10 ambao watakuwa wamehamasishwa na kiwango cha kodi kuwa chini. Wataoji wanaongezeka kwa sababu wanaona hakuna haja ya kukwepa kodi yani ya kwamba kiwango kinalipika.
Mfano, angalia attachement. Nimetaka kununua gari ya dola elfu 7 lakini calculation ya TRA inatoa kodi jumla Dola 8 elfu.Maana hii inahusika kwa bidhaa zingine pia. Hii kodi inahamasisha ama kukwepa ama kutoa rushwa.
Mtu anaona bora atoe rushwa dola elfu 5 apitishe hiyo gari, badala ya dola elfu 8 kwa kitu nimenunua dola elfu 7.
Hii siyo haki, na kama ndivyo basi hata kutoa rushwa itakuwa siyo kosa na ndiyo maana rushwa itakuwa ngumu kuimaliza kwa hizi kodi.
Hata ktk Biblia Yesu aliwaambia tozeni kodi kwa haki, msizurumu. Hii 100% ya kodi, kwetu kule tunasema ni zurumati.