Kocha Zidane Alipochanikiwa Suruali Hadharani

Amavubi

JF-Expert Member
Dec 9, 2010
30,156
13,249
Suruali ya kocha wa Real Madrid, Zinadine Zidane ikiwa imechanika usiku wa jana wakati akishangilia ushindi wa 3-0 dhidi ya Wolfsburg ya Ujerumani, mabao yote yakifungwa na Cristiano Ronaldo katika mchezo wa marudiano Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Uwanja wa Bernabeu na kutinga Nusu Fainali kwa ushindi wa jumla wa 3-2 baada ya awali kufungwa 2-0 Ujerumani. Kocha wa zamani wa Barcelona, Pep Guardiola aliwahi kupatwa na mkasa huo katika klabu yake ya sasa Bayern Munich akishangilia ushindi wa 6-1 dhidi ya Porto mwaka jan
Zidane_s_hilarious_2796175n.jpg

3320C23200000578-3536784-image-a-1_1460531691647.jpg
 
331CFD2000000578-3536784-Unfortunately_for_Zidane_TV_cameras_caught_the_moment_his_trouse-m-3_1460507299672.jpg

Suruali ya kocha wa Real Madrid, Zinadine Zidane ikiwa imechanika usiku wa jana wakati akishangilia ushindi wa 3-0 dhidi ya Wolfsburg ya Ujerumani, mabao yote yakifungwa na Cristiano Ronaldo katika mchezo wa marudiano Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Uwanja wa Bernabeu na kutinga Nusu Fainali kwa ushindi wa jumla wa 3-2 baada ya awali kufungwa 2-0 Ujerumani. Kocha wa zamani wa Barcelona, Pep Guardiola aliwahi kupatwa na mkasa huo katika klabu yake ya sasa Bayern Munich akishangilia ushindi wa 6-1 dhidi ya Porto mwaka jan
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom