Kocha yupi ni bora kwa sasa Duniani?

Kocha yupi ni bora kwa sasa Duniani?

Area 56

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2015
Posts
1,556
Reaction score
4,071
Kumekuwa na mijadala mbalimbali inayoendelea Mitandaoni kuhusu ni nani kocha bora kwa sasa Duniani. Wengi wamekuwa wakimtaja Pep Guardiola, wengine wakimtaja Zinedine Zidane, lakini pia wapo makocha wengine wenye ubora wa hali ya juu.

Je, yupi ni kocha bora kwa upande wako?
 
Subiri mwisho wa msimu ndio tutamjua kocha bora kwa kuangalia mafanikio yao.
 
Mi nadhani Pep Gardiola na Zinedine Zidane wanaweza wakawa makocha bora kwa sasa hasa ukiangalia performance ya timu zao,
 
-Kwa vilabu, ni kocha wa Barcelona, timu yake ipo ktk mashindano yote mpaka sasa na hajapoteza mchezo ktk ligi na wanacheza soka la kuvutia machoni na defense iko tight.
-Kwa nchi, Joachim Loew hana mpinzani.
 
Mauricio Pochetinno
mauricio-pochettino.jpg
 
Back
Top Bottom