Nawaza tu kama Mudi ataendelea kweli kuwa mvumilivu wakati timu yake ikiendelea kujikongoja, huku wapinzani wake wakiendeleza wimbi la ushindi kwa 100%
Maana asipochukua hatua mapema, kuna kila dalili ya kuendelea kubakia nafasi ya tano mpaka mwishoni mwa msimu.