Justine Marack
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 622
- 1,732
Ameshakiri kwamba yeye siyo mchambuzi!Ukiona mtu anasema ilikua kumuingiza mzamiru bila kumalizia atoke nani ujue hakuna mchambuzi hapo
Sent from my Infinix X6517 using JamiiForums mobile app
Mzamiru angeleta madhara zaidi, afadhali akae benchi ajifunze mpira inavyotakiwa kucheza.Ukiona mtu anasema ilikua kumuingiza mzamiru bila kumalizia atoke nani ujue hakuna mchambuzi hapo
Sent from my Infinix X6517 using JamiiForums mobile app
Timu inaweza kucheza na No.6 wawili lakini kucheza na No.5 wawili ni uzushi. Anachosema mleta mada yuko sahihi. Ukifanya hivyo wote watakabia chini na mwisho watagongana ndani ya eneo au watategeana na ndicho kilichofanyika Jana kwenye tukio moja na kwenye goli la kisawazisha. Aliyetengeneza soka upande wa Idadi ya Wachezaji alitumia akili Sana. Kuna namba Wachezaji hawawezi kuwa wawili.Kocha kimsingi alifaulu kimipango,Tatizo ni wachezaji walimwangusha hawakujituma kulinda mipango ya Kocha. Mfano namna ya kutumia chances wakipata mipira Hususani washambuliaji ilikua hovyo sana. Yaan mchezaji anajigongangonga tu miguuni mwa Al Ahaly hata pale anapokua na uwezekano wa kugawa pasi hatarii.
Simba Baada ya kuwafunga wangetuliza akili,ikiwezekana kupiga mipila kwao tu kuepuka kupoteza Moira kwa mpinzaniii.Game plan wali win ila fighting spirit ipo chiniii pia baadhi wachezaji uwezo upo chinii
Uko sahihi kabisa ..nilikuwa .tu kwanza kusema hiki haja...Mimi sio Mchambuzi wala Kocha, natoa maoni yangu kwa uzoefu ninaoona kwa kile kinachofanywa na makocha wengine.
Katika mchezo wa jana Ahly na Simba, Sub ya Kenedy ilikuwa sub muafaka kwa wakati sahihi, lakini nimeona makocha wengi wakitaka kuzuia, nasi option ya kwanza ni kumiliki mpira.
Sasa kwa jana nilitarajia option ya kwanza ingekuwa kumuingiza Mzamiru ili kufanya pale kati Simba wamiliki dimba kwa kusaidiana na akina Ngoma na Kanoute, pale Mzamiru angafanya mchezo kurudi kwa Simba. Option ya pili ndio hiyo ya kuingizwa beki kama Kenedy.
Kitendo cha kuingia Kenedy inamaana kuwa Kocha alitaka kuwazuia Ahly katika mstari wa nyuma mbele ya lango. Hii ni kuwa unakaribisha mashambulizi dhidi ya wachezaji wenye quality kama wale Waarabu.
Yote kwa yote Mchezo ulikia mzuri. Hongera Robertinho.