Kocha wa Everton afukuzwa kazi.

Eti watu wanadai Everton walipokuja bongo waliondoka na gundu la kutosha kiasi kwamba walipofika jijini Liverpool kwenye kiwanja chao cha Goodson Park gundu kidogo lilifanikiwa kupeperuka na kukatiza katikati ya Stanley Park hadi Anfield kwa majirani zao Liverpool ndio maana wanapokea vipigo kila uchwao.

 
Kati ya makocha wanaowapa viongozi wao tabu Bilic yupo utashangaa anashinda game nne mfululizo mpaka viongozi wanashindwa kumngoa
NA yeye sasa hivi mtumbi umetoboka, ataafanyaje kikombe cha akina Deboar, Shakespere, Koemana akiwezi mpita msimu huu.
 
Tony Pilius wA westbromwhich alibion kibarua kimeota nyasi......
Kocha w Timu gani ya Epl atafuatw KutimuliwA msimu huu......
Naona wenye mbinu hafifu wote chali
Tusubiri tuone
Na jana Everton kampa mtu kipigo cha mbwa mwizi 4g
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom