Kocha wa Barcelona ajiuzulu

Kocha wa Barcelona ajiuzulu

autorun255

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2013
Posts
1,105
Reaction score
364
Baada ya timu barcelona kutofanya vizuri la liga, champions league na kukosa kikombe msimu huu kocha wa barcelona ameamua kuresign.

Source: supersport
 
Kwa Tanzania yetu tutakaa sanaa kwenye decision kama hizo yan hatu wazi mbali 👉
 
Dah, ningetamani sana jambo kama hili Wenger wetu ajiuzulu pia hata kama jana tulishinda FA Cup!!!!!
 
Baada ya timu barcelona kutofanya vizuri la liga, champions league na kukosa kikombe msimu huu kocha wa barcelona ameamua kuresign.

Source: supersport

kocha mzuri ni wa tabu na raha au kasoma alama za nyakati siku zijazo..
 
ngoja leagua yangu ya mchangani(kombe la kuku) iishe ..niombe msimu ujao niwe kocha wa barca
 
ngoja leagua yangu ya mchangani(kombe la kuku) iishe ..niombe msimu ujao niwe kocha wa barca

Hakikisha unapata kombe hilo la kuku.
Martino ameng‘atuka kwa sababu hajaipatia kikombe chochote barca.
 
Mtukutu Luis Enrique kapewa timu kwa mujibu wa Fox Sports.
 
Barca inaanza kupotea toka alivyoondoka Frank Rijkaard
 
Back
Top Bottom