Kocha Nasredine Nabi amejiunga na klabu ya Wydad Cablanca

Kocha Nasredine Nabi amejiunga na klabu ya Wydad Cablanca

carbohydates

Senior Member
Joined
Oct 13, 2026
Posts
193
Reaction score
375
Kocha Nasreddine Nabi amejiunga na klabu ya Wydad Casablanca ya Morocco kwa mkataba utakaodumu hadi mwisho wa msimu huu.

Nabi, ambaye aliwahi kuzifundisha Young Africans ya Tanzania, Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini na klabu nyingine, anaendelea na safari yake ya ukocha nchini Morocco.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom