Kocha Mpya wa Simba

Bavaria

JF-Expert Member
Jun 14, 2011
53,097
53,485
IMG-20160609-WA0003.jpg
 
Hawa ndo makocha wenye hadhi ya kuifundisha thimba thipoti kilabu,wazungu mbwembwe tu.
 
Huyo akiwa kocha wa simba mbona wakiingia uwanjani simba wanaweza kufungwa magoli hata 150 kwamaana huyo kocha hana mpangilio kuanzia kwenye ubongo wake.
 
huyo jamaa sizani hata danadana anaweza kupiga. ila anastahili kuwa kocha wao mpaka watie adabu
 
Back
Top Bottom