Kocha mpya Simba aliondokaje Cameron?

kavulata

JF-Expert Member
Aug 2, 2012
12,298
12,600
Panoja na CV yake nzuri ya kuiwezesha timu ya Cameron kuchukua ubingwa mataifa ya Africa kwanini Cameron hawakuendelea nae hadi wachukue kombe la dunia? Tusiongeze chumvi nyingi kwenye maharage yasiyoiva.
 
GONGO wazi fc.. Kwann hamshughuliki na yenu? Huoni Kama kutwaa UBINGWA African cup of nation ni CV kubwa sn? kwani Huyo kocha wenu MWANAMWALI,,,, sorry typing error... Lwandamila Ana CV gn nzr zaidi ya Huyo wa simba? Ukiuliza wanakwambiya bingwa wa kuwafunga WAARABU
 
Anaitwa
Lwandamina, na sio Lwandamila.
Zingatia mwisho wa jina ni amina na sio amila.
 
Ni
GONGO wazi fc.. Kwann hamshughuliki na yenu? Huoni Kama kutwaa UBINGWA African cup of nation ni CV kubwa sn? kwani Huyo kocha wenu MWANAMWALI,,,, sorry typing error... Lwandamila Ana CV gn nzr zaidi ya Huyo wa simba? Ukiuliza wanakwambiya bingwa wa kuwafunga WAARABU
Kama hujui kwanini Cameron waliachana nae pamoja na porojo nyingi za kumsifia hapa kwetu google. Kuna mtu alisema Omog is a perfect coach sasa amepiga U- turn anaimba chollas ya Patrick mfaransa. Haijulikkani nani anataka nini lini
 
Kwahiyo makocha wote waliotwaa makombe ya dunia waliendelea na timu zao mpaka kifo kilipowatenganisha?

Nonsense!
Good answer broo,mwambie afuatilie scolary alipochukua ubingwa wa dunia 2002 aliendelea na Brazil?
 
Tukumbushe wana jamvi kwanini aliachana na timu ya Cameroon pamoja na mafanikio aliyoipa Cameron, usitukane.
 
Good answer broo,mwambie afuatilie scolary alipochukua ubingwa wa dunia 2002 aliendelea na Brazil?
Hawa watoto wa siku hizi wana muda wa kufuatilia basi? Ntapoteza muda wangu tu bure...
 
Cameron hawakuutaka ubingwa wa dunia kwa kumfungashia vilago mfaransa wa Simba mwenye CV safi? Kutwaa ubingwa wa dunia ndio kilele kwa kocha anaefunza a national team, yule wa Brazil ilikuwa sawa kuonddoka baaada ya kupataa maaffanikio yale. Hata Patrick kaja tu kama walivyofanya makocha wazungu wengine na kuondoka bi
 
Panoja na CV yake nzuri ya kuiwezesha timu ya Cameron kuchukua ubingwa mataifa ya Africa kwanini Cameron hawakuendelea nae hadi wachukue kombe la dunia? Tusiongeze chumvi nyingi kwenye maharage yasiyoiva.
Coaches are hired to be fired.

Over...!
 
Ni
Kama hujui kwanini Cameron waliachana nae pamoja na porojo nyingi za kumsifia hapa kwetu google. Kuna mtu alisema Omog is a perfect coach sasa amepiga U- turn anaimba chollas ya Patrick mfaransa. Haijulikkani nani anataka nini lini
That's football bandugu.
 
Back
Top Bottom