Kocha Mkuu wa Klabu ya Simba Robertinho kuchangalia kupata sare inamaanisha nini?

kukumsela

JF-Expert Member
Oct 13, 2018
721
907
Wakuu naomba kuuliza

Kocha mkuu wa klabu ya soka ya Simba raia wa Brazili Roberitinho almarufu mzee wa Sambaroketo kushangalia kupata sare pindi timu yake iliposhuka dimbani kucheza na timu ya Azam katika Uwanja wa Lupaso jijini Dar -es-salaam ambapo timu hizo zilitoka sare ya 1-1 huku timu yake ikiwa nafasi ya pili katika msimamo wa Npl nyuma ya timu ya Yanga kwa tofauti ya point 5 ambapo timu ya Yanga inamchezo mmoja mkononi

Naomba kuwasisha tafadhali
 
Inamaanisha kua anafurahia kile alichowafundisha basi wachezaji wametekeleza
Mnasemaga oooh Azam tawi la Simba, mechi mbili sasa ambazo Simba wanahitaji sana ushindi ili wabaki kwenye mbio za ubingwa halafu Azam anakaza.

Simba sasa ana derby 2. Kila timu inatamani kuwa mshindani mkubwa wa Simba.
 
Mnasemaga oooh Azam tawi la Simba, mechi mbili sasa ambazo Simba wanahitaji sana ushindi ili wabaki kwenye mbio za ubingwa halafu Azam anakaza.

Simba sasa ana derby 2. Kila timu inatamani kuwa mshindani mkubwa wa Simba.
Mnasemaga wakina nani hao wanasemaga?
 
Hakufarahia kupata sare ilikuwa anafurahia kijana wake pendwa kuonyesha uhai dakika chache tu alipoingia na hata goli lilipofungwa alikuwa ni kama anamwambia kitu mgunda kuhusu kibu denis lakini sio kwamba alishangilia sare kwa hyo issue ndio ipo hvyo hvi mpira mnaangalia wapi kwani.

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom