Kwa jinsi alivyoiendea mechi ya leo ni wazi anakijua anachokifanya. Nashauri Yangq imuongezee nguvu kwa kuziba madhaifu yaliyopo na kumpa uhuru wa kupanga na kuamua kikosi. Sababu zangu ni hizi.
1. Jinsi alivyoweza kuwasoma na kudhibiti ufanisi wa Simba kupitia Mpanzu, Kibu na Budo
2. Jinsi alivyoweza kuhimili presha ya kutoanza na champ