Peramiho yetu
JF-Expert Member
- May 25, 2018
- 5,304
- 14,913
Kocha wa kagera sugar na mbabe wa yanga amefurushwa
Habar Zaid kuwajia
Habar Zaid kuwajia
Siyo tetesi , katimuliwa kweli
Amefukuzwa kwa kuwa alitoa sare na Yanga, ni matokeo mabaya kwao kwa mujibu wa uongozi wa Kagera SugarHizi timu, walicheza mpira mzuri walivyocheza na Yanga,lakini wakicheza na vitimu vidogo upuuzi mtupu, pole Maxime.
Anaenda yanga sasaKocha wa kagera sugar na mbabe wa yanga amefurushwa
Habar Zaid kuwajia
Uko sahihi sana. Ni muda muafaka Kaze aondokeKesho mapeema baada ya mechi na Polisi kule Arusha kuna mwingine nae mabegi yake yashawekwa mlangoni kabisa.
Kwanini unasema ni muda muafaka kuondoka??Uko sahihi sana. Ni muda muafaka Kaze aondoke
Mexime aliwatoboa TUNDU MAMBUMBUMBU mbele ya magufuliAmefukuzwa kwa kuwa alitoa sare na Yanga, ni matokeo mabaya kwao kwa mujibu wa uongozi wa Kagera Sugar
Hatuzungumzii historia, zungumzia msimu huu unaoendelea. Amefukuzwa kwa kutoa sare na YangaMexime aliwatoboa TUNDU MAMBUMBUMBU mbele ya magufuli
Sikio la kufa, wachezaji wabovu. Hakuna kipya atakachopelekaAnaenda yanga sasa
Vp bado hajafurushwa tu hukoKesho mapeema baada ya mechi na Polisi kule Arusha kuna mwingine nae mabegi yake yashawekwa mlangoni kabisa.
Ingawa wewe ni Mataga na pia shabiki wa mbumbumbu fc, ila leo naomba tu nikuunge mkono.Uko sahihi sana. Ni muda muafaka Kaze aondoke
Anaingia Jangwani huyo.Mwaka jana alikataa kujiunga Yanga, Sasa katimuliwa. Ataenda IHEFU
Tayari,mbona zamaani sana.Vp bado hajafurushwa tu huko